Tuwaone viongozi wa chadema wako mbele na wake zao na watoto wao.. sio.kila siku kuwaacha waandamaji wanaumizwa wao wamejifungia nyumbani
kwani wanalazimishwa kuandamana?Tuwaone viongozi wa chadema wako mbele na wake zao na watoto wao.. sio.kila siku kuwaacha waandamaji wanaumizwa wao wamejifungia nyumbani
fujo na vurugu kwenye maandamano vinaletwa na polis baada ya kuingilia maandamano hayo!Du! Hamjajifunza Kwamba Fujo na maandamano ndio vinawagharimu Haya endeleeni.
.... kwanza jina lako tu... laki si pesa unahitaji ukombozi wa pili kwani unao watetea wameisha filisi nchi hii.... karibu CDM mkuu....Tuwaone viongozi wa chadema wako mbele na wake zao na watoto wao.. sio.kila siku kuwaacha waandamaji wanaumizwa wao wamejifungia nyumbani
akiojiwa na "DW BORN" leo mchana prof abdalah safari amesema maandamano yapo palepale kwa police hawana mamlaka ya kutoa kibali cha maandamano bali wao wanapewa taarifa tu, kama kusitisha maandamano basi ni kunakiwa na makubaliano kati ya police na waandamanaji ila si kuzuia maandamano
polisi wanazuia maandamano? kwa sababu zipi? tutawataarifu wawe tayari kulinda maandamano hayo pale yanapoanzia mpaka mwisho.