Malaria Sugu
JF-Expert Member
- Jul 7, 2009
- 2,653
- 270
Mental retardation (MR) or general learning disability is a generalized disorder appearing before adulthood, characterized by significantly impaired cognitive functioning.Dini baba ndio tatizo pia kumbuka musoma ipo karibu ka kilimanjaro na arusha
Mleta mada, ni dhambi kubwa kupandikiza mambo ya udini katika jamii, tujiepushe na hili kwa manufaa ya vyama vyote na taifa kwa ujumla. Ningependekeza, kwa heshima ambayo JF imejijengea, hizi uzi zinazochochea udini, zifunguliwe kurasa yake ya udaku wa udini.Lengo la mleta mada hasa ni udini. Chadema aina udini propoganda hizi hazifai. Njoo kwetu kwamtoro Kondoa sehemu yenye waislama wengi uone chadema inavyo nawiri.
Mleta mada UCHOCHEZI!