Jibu lako limeishia hapo kwenye "kwani ".
Usilinganishe lissu na takatakaeti huyuu ndo wakumdhibiti Lissu jiwe kweli jiwe.
Leo tarehe 17 Machi, 2019, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb.), anatarajiwa kufanya mazungumzo na Watanzania waishio nchini Namibia.
Ili awaambie uwongo kama alivyozoea jamaa ni muongo mpka shetani anasubiri
Sent using Jamii Forums mobile app
Anaonekana muoga saanaHayo madongo yake sasa,na anavyoongea mpaka mishipa inakaza.
Anatawaliwa na hofu zaidi, ufanisi hanaNa ajitahidi kuongea kwa vituo na matao. Siyo awatolee macho na kuwaamuru kwa kufoka kama anaongea na hawara zake.