MIMI BABA YENU
JF-Expert Member
- Mar 1, 2019
- 319
- 755
Leo tarehe 17 Machi, 2019, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb.), anatarajiwa kufanya mazungumzo na Watanzania waishio nchini Namibia.
Namibia kuna watanzania wengi sana wanaishi na kufanya mambo yao poa kabisa.ukioa Kyle hubugudhiwiLeo tarehe 17 Machi, 2019, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb.), anatarajiwa kufanya mazungumzo na Watanzania waishio nchini Namibia.
Awambie warudi nyumbani pamenoga.....Leo tarehe 17 Machi, 2019, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb.), anatarajiwa kufanya mazungumzo na Watanzania waishio nchini Namibia.
So what??Leo tarehe 17 Machi, 2019, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb.), anatarajiwa kufanya mazungumzo na Watanzania waishio nchini Namibia.
Hahahhaaa Kaanzia Namibia hapo?? Zile mbwembwe zote kumbe gia ni Ya Namibia?? Mbona ameruka Malawi??Leo tarehe 17 Machi, 2019, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb.), anatarajiwa kufanya mazungumzo na Watanzania waishio nchini Namibia.
Leo tarehe 17 Machi, 2019, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb.), anatarajiwa kufanya mazungumzo na Watanzania waishio nchini Namibia.
Karuka Malawi , na Zambia kaibukia NamibiaHahahhaaa Kaanzia Namibia hapo?? Zile mbwembwe zote kumbe gia ni Ya Namibia?? Mbona ameruka Malawi??
Na ajitahidi kuongea kwa vituo na matao. Siyo awatolee macho na kuwaamuru kwa kufoka kama anaongea na hawara zake.Ili awaambie uwongo kama alivyozoea jamaa ni muongo mpka shetani anasubiri
Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu ainisha hiyo sehemu ya Tanzania iliyonoga.
Na macho yake anavyotoa sasa!Hayo madongo yake sasa,na anavyoongea mpaka mishipa inakaza.
Kishaandaa in advance ma Kada wanaoishi huko.Leo tarehe 17 Machi, 2019, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb.), anatarajiwa kufanya mazungumzo na Watanzania waishio nchini Namibia.
Anaenda kuongea na ma kada wa SSM waishio huko kwa Mwamvuli wa wa TanzaniaSo what??
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Na macho yake anavyotoa sasa!
Huwa siruhusu watoto waangalie maana wataweweseka usiku
Kwani Ikulu hakujanoga au sio sehemu ya tzHebu ainisha hiyo sehemu ya Tanzania iliyonoga.
Lissu anajibiwa Namibia badala ya belgiumLeo tarehe 17 Machi, 2019, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb.), anatarajiwa kufanya mazungumzo na Watanzania waishio nchini Namibia.