Hapana Kaka yangu. Kufa kila mmoja atakufa ila wewe kwa neno la Mwenyezi Mungu hutakufa sasa wala karibuni.So sad. On 20/12/2020 my classmate at Old Moshi sec 1970/71 form iv/vi passed away - Prof. Bakari Lembariti - MUHAS.
Leo college mate UDSM Prof. Mayunga Nkunya 1972 - 1975 tuliyekuwa naye hapo mlimani.
So sad. Najiandaa kuagana nanyi wana jf. Hii ndiyo reality.
Good! Vijana wanatukana baba zao humu.Nafurahi kujua hilo sasa nitajiepusha kujipatia dhambi kwako mkuu.
Mwaka gani?Usiogope, kila mtu ana mpango wake. mimi amenifundisha chemistry UDSM....
Hapana mkuu, Mayunga hawezi akatoka Mara! Hili jina ni la Kisukuma, na maana yake huenda wakati anazaliwa labda baba yake alikuwa ameondoka nyumbani kwa ajili ya kwenda kutafuta ridhiki mbali na familia!Mayunga ni watu wa Mara, kanda ya Ziwa ni kubwa sana ina mikoa mingi na watu wengi sana too bad wote wanaitwa wasukuma, mikoa yote hii Mwanza, Simiyu, Geita, Shinyanga, Mara, Kagera hawa wote ni kanda ya ziwa, hapo bado Tabora ambayo si kanda ya ziwa ila watu wake wana uhusiano wa karibu sana wa kiutamaduni na kiuchumi na kanda ya ziwa.
Matusi na kejele za wanasiasa hasa hasa CDM dhidi ya kanda ya Ziwa ni hatari kwa taifa na hatari hata kwa mustakabala wao, kwa mara ya kwanza kuna uwezekano wa kanda ya ziwa wakaungana na kupiga kura za maruhani ( hasira) dhidi ya hizi kejeli mnazofanya.
Technically umeona eh! Kuna watoto humu wanatutukana...... lkn hawajui tunawasamehe. Prof Nkunya alinifundisha 1983 chemistry UDSM......third year..Ila wewe hatujawai kupishana
Biblia inasema "wazazi msiwachokoze watoto"Good! Vijana wanatukana baba zao humu.
Kabisa mzee somo kubwa sana hiliNadhani mmejifunza kitu leo. Kuna watu humu ni bab zenu lkn mnawatukana
1983Mwaka gani?
Shikamoo Kaka yangu. Mimi darasa la kwanza 1975.nilikuwa o'level...75 namaliza
Hatukani akiwa na verified account.ila akiwa na fake ID matusi kwenda mbeleBiblia inasema "wazazi msiwachokoze watoto"
Nanyi wenye umri mkubwa muwe mnajiheshimu.
Huwezi kumkuta mzee Mohamed Said
Anatoa lugha chafu au malumbano asiyo na tija.
Huyu mzee popote alipo shikamoo kwake
ukichokozwa ndiyo umtukane baba yako? Ni kukosa heshima tu na malezi mabaya. Sema unakuwa huji kuwa huyu ni baba yako ki umri nitakuelewa.Biblia inasema "wazazi msiwachokoze watoto"
Marahaba. I am almost 70 yrs!Shikamoo Kaka yangu. Mimi darasa la kwanza 1975.
Kama umenikumbusha niliwahi kumtandika mzee mmoja humu siyo kidogo, wanaomfahamu Kwamba ni mzee mwenzangu wananifuata PM aaaaah mkuu mwombe radhi yule mzee aisee! JF ni kiboko, ukijichanganya unatandikwa kisawasawa!Ndio uzuri wa JF, mtu akileta za kuleta hata kama ana kinga ya kutoshtakiwa, we mrapue tu!
Masunga ni wasukuma, sasa Mayunga sijui ni wa wapiHapana mkuu, Mayunga hawezi akatoka Mara! Hili jina ni la Kisukuma, na maana yake huenda wakati anazaliwa labda baba yake alikuwa ameondoka nyumbani kwa ajili ya kwenda kutafuta ridhiki mbali na familia!
Duh, hongera mkuu huwa nakufuatilia ila huwa una busara! Keep healthy mwamba ugonge ile miaka ya ahadi ya Mungu aliyowaahidia wazee wetu!Marahaba. I am almost 70 yrs!
Hilo sina uhakikaHatukani akiwa na verified account.ila akiwa na fake ID matusi kwenda mbele
Sasa ni wakati wanaJF kufahamu umri wa baadhibya wakongwe.Shikamoo mkuu
Unatafuta matusiMayunga ni watu wa Mara, kanda ya Ziwa ni kubwa sana ina mikoa mingi na watu wengi sana too bad wote wanaitwa wasukuma, mikoa yote hii Mwanza, Simiyu, Geita, Shinyanga, Mara, Kagera hawa wote ni kanda ya ziwa, hapo bado Tabora ambayo si kanda ya ziwa ila watu wake wana uhusiano wa karibu sana wa kiutamaduni na kiuchumi na kanda ya ziwa.
Matusi na kejele za wanasiasa hasa hasa CDM dhidi ya kanda ya Ziwa ni hatari kwa taifa na hatari hata kwa mustakabala wao, kwa mara ya kwanza kuna uwezekano wa kanda ya ziwa wakaungana na kupiga kura za maruhani ( hasira) dhidi ya hizi kejeli mnazofanya.
Acha utaniππππππHe was also Magufulis lecturer.
Meaning what?He was a gentleman!
Ila sikujua kuwa ni Habibu Hemedi,
RIP Prof Mayunga Nkunya!