Dreadnought
JF-Expert Member
- Mar 25, 2013
- 2,902
- 3,984
Acha tu mkuu ila sidhani kama yana msaada sana katika kuzungumza lughaHahaha hahaha lugha ya English noooma
Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
Acha tu mkuu ila sidhani kama yana msaada sana katika kuzungumza lughaHahaha hahaha lugha ya English noooma
Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
Ila kwenye kuzungumza sidhani kama ina msaada sana labda kwenye uandishiAcha kabisa ila inasaidia mambo mengi sana
Siku hizi wameunganisha syntax, phonology na morphology topic inaitwa speaking kila sehemu wamechukua vitu kidogo kidogoMie juzi nilimkuta dogo anasoma nikamwomba syllabus bahati nzuri alikuwa nayo, nilivyoicheki kusema kweli nilisikitika sana. Pale hakuna kitu wanafundishwa. Phonology yenyewe imechakachuliwa, ukirudi huku kila kitu kimeharibiwa. Nikajiuliza, hivi haya mambo kuondolewa yalikosea wapi, mbona sie tuling'ang'ana nayo hivyo hivyo na leo walau inatusaidia kusimama. Hawa wa leo watasimamaje?
Very sad!
Ni uhuni huo mkuu, Syntax yenyewe kama topic ilikuwa ni kubwa sana. Sasa inavyotokea eti inachanganywa na phonology na morphology hiki kinakuwa ni kitu cha ajabu cha kuwapoteza vijana wetu. Unaweza ukazifuta zingine zote lakini Syntax ni topic kwa utimilifu wake, ukiamua kudeal na SVOCA huna namna ya kuacha kugusa sheria za kiundaji na muingiliano wa herufi na maneno.Siku hizi wameunganisha syntax, phonology na morphology topic inaitwa speaking kila sehemu wamechukua vitu kidogo kidogo
Sent from my TECNO S9 using JamiiForums mobile app
Lugha inafundishwa kukidhi mambo makubwa mawili katika mawasiliano, kuongea na kuandika. Na baadae inaongezeka kuisoma na kuisikiliza. Na katika kuishi sana, watanzania hatuiongei sana lugha ya kiingereza kama tunavyoiandika. Kama ndivyo, basi kuna haja ya wewe pia kufikia hilo lengo kwani utalazimika sana kuandika kuliko vile utakavyohitajika kuiongea. Na ni maeneo machache sana utatakiwa kuongea juu ya dakika5 lakini katika kuandika utatakiwa kuandika kurasa nyingi sana, mara nyingi na kuhusu mambo mengi sana.Ila kwenye kuzungumza sidhani kama ina msaada sana labda kwenye uandishi
Sent from my TECNO S9 using JamiiForums mobile app
Ni kweli kabisa tanzania tunatumia hii lugha kwa kuandika zaidi, lakini nadhan lengo la hiyo sylabus ni kusisitiza zaidi kuzungumza (linguistic performance)Lugha inafundishwa kukidhi mambo makubwa mawili katika mawasiliano, kuongea na kuandika. Na baadae inaongezeka kuisoma na kuisikiliza. Na katika kuishi sana, watanzania hatuiongei sana lugha ya kiingereza kama tunavyoiandika. Kama ndivyo, basi kuna haja ya wewe pia kufikia hilo lengo kwani utalazimika sana kuandika kuliko vile utakavyohitajika kuiongea. Na ni maeneo machache sana utatakiwa kuongea juu ya dakika5 lakini katika kuandika utatakiwa kuandika kurasa nyingi sana, mara nyingi na kuhusu mambo mengi sana.
Labda kama una mtizamo tofauti na huu wa kwangu, karibu utuelimishe!
Usiseme kabisa, na ndio maana ukiingia chuo kwa wale wa linguistics inaonekana kuwa mzigo mzito sana kwasababu kule unakwenda kukutana na vitu ambavyo havikuwahi kujengewa msingi imara huku nyuma ili kukusaidia kusonga mbele. Na ili ufanye vizuri katika linguistics, 65% itatokana na uwezo wako ulionao katika Syntax.hii ilinikuta nilipojiunga chuo kikuu nakukutana na syntax ambayo sikuwa na msingi hata kidogo...da sup ilihusika sio siri...hawa wtu wa mitaala niwatu wa ajabu sana ..badala ya kuweka mwendelezo ya mada wao wanaondoa chini ili mfaulu then huko juu mtajiju
Sent from my TECNO H5 using JamiiForums mobile app
Niliipiga 1yr , acha kabisa mzeeSVOCA analysis si mchezo,