Prof. Mwesigwa Baregu: Mzozo wa CHADEMA unatokana na wanachama.

Sasa ninyi wandugu, mbona wasomi wote ndio wajinga kwenu?? Still hamuwezi kuona tatizo halisi lilipo?

Mkuu, kwa kawaida mtu mjinga akipata madaraka, huwa anawachukia sana waliomzidi kielimu japo anajua kuwa wana msaada mkubwa kwake
 
wanafunzi wengi waliopikwa vizuri na Prof Baregu akisaidiana na Dr Bernadeta Killian, Marehemu Prof Sammuel Mushi, Prof Max MMUYA, Prof DAUDI MUKANGARA, Prof mukandala, Dr Mohamed Bakari na wengine kwenye Department ya Political Science and Public Administration pale chuo kikuu cha Dar es salaam hawawezi kuwa Mburula kama ulivyo wewe Ben Saanane. TRumepikwa vizuri na tumepikika na tuna uwezo mkubwa wa kuchanganua mambo. mijadala inajaa hoja na si wewe na Yeriko Nyerere ambao kutokana na ufinyu wenu wa taaluma, mnakimbilia mipasho na matusi
He is the product of ceremonial degrees from india ( degree za zawadi) ili kudumisha urafiki kati ya india na tz. Hata wenye failure huenda na kupata first class.
 
Hivi hakuna msemaji mkuu wa chama? Naona Baregu kila mara anaongea maoni yake kuhusu chama.
 
MsemajiUkweli,

-Ningeshangaa usingeleta habari hii

Ni Kweli Dr.Kitila ametoa mchango wake katika Chama.Lakini Constitutional Supremacy ipo juu ya kila mtu ndani ya chama

-Sikubaliani na hoja ya political scientist yeyote anayesema kuwa katiba itupiliwe mbali tuangalie ushawishi.Katiba ni sawa na kanuni za discipline nyingine kama Mathematics na Phisics badala ya kufikiria narrowly kwenye scope ya political science tu.Haihitaji kuwa political scientist kujua hili

-Itikadi (Ideology) ni benchmark ya formation of a political party.Katiba inapokiukwa na kufanya mambo nje ya katiba iliyoandikwa kwa mtazamo wa kiitikadi inaweza kuathiri Ideology.

-Kama mzozo wa CHADEMA(kwa fikra zake) unatokana na wanachama au mgogoro baina ya watu(Hapa namshangaa maana hakuna mgogoro) basi ningetarajia yeye anayejipambanua kama mtaalamu wa kutatau migogoro awe tayari ameshali-adress ndani ya chama na kutoa negotiation roadmaps maana ni fani yake baadala ya kuongelea huko VOA

By the way,sioni correlation ya Dr.Kitila na hayo mengine aliyosema.Ni kitu gani exactly alichotaka kusema maana political scientist ambaye ni profesa ni lazima aepuke ambiguity katika statement zake na ziwe katika mtiririko.Labda nimpe sasa imani yenye mashaka(Benefit of doubt) kutokana na kuwa mara nyingi media hupotosha

mkuu
prof.baregu ni mwenyekiti wangu mpya wa chadema naomba umuheshimu
 
Last edited by a moderator:

we nae unakurupukaga,tuliza kichwa elewa nini Prof.Baregu anamaanisha.usikalili mistari.
Kitu kinachokuponza,umeathirika na kitu kichwani mwako.hata uambiwe hii blue,unakataa unasema ni red.
 
wanafunzi wengi waliopikwa vizuri na Prof Baregu akisaidiana na Dr Bernadeta Killian, Marehemu Prof Sammuel Mushi, Prof Max MMUYA, Prof DAUDI MUKANGARA, Prof mukandala, Dr Mohamed Bakari na wengine kwenye Department ya Political Science and Public Administration pale chuo kikuu cha Dar es salaam hawawezi kuwa Mburula kama ulivyo wewe Ben Saanane. TRumepikwa vizuri na tumepikika na tuna uwezo mkubwa wa kuchanganua mambo. mijadala inajaa hoja na si wewe na Yeriko Nyerere ambao kutokana na ufinyu wenu wa taaluma, mnakimbilia mipasho na matusi
kumbe umepikwa ndo maana akili zako zinahitilafu? msomi gani wewe unafaulu kwa majina ya maprofesa?
shame...
 
kumbe umepikwa ndo maana akili zako zinahitilafu? msomi gani wewe unafaulu kwa majina ya maprofesa?
shame...

Kitu kizuri lazima kiandaliwe na mtu mzuri. Kipaji ni cha kuongezea tu. Hata akina Ronaldo na Messi wanakuwa bora kwa vile wanachezea timu bora na wanaandaliwa na makocha bora. Hata Emmanuel Okwi alikuwa bora kwa vile alikuwa anachezea timu bora ya Simba chini ya Kocha Bora Milovan. hata siku hizi wazazi wanahamasika kuwapeleka watoto wao kwenye shule bora zenye walimu bora ili watoto wao wawe bora. Huwezi kupata elimu India kwenye shule zisizo na ubora halafu ukategemea uwe bora. matokeo yake unaishia kutumika tu na akina SLAA
 
Unaponiuliza tafsiri ya usomi wakati huo huo hutoi tafsiri ya neno uliloita 'Matusi" bado haina mantiki katika mjadala.Unaishia kusema wasomi walitukana matusi tu lakini husemi ni yapi.Hebu achia mjadala tusonge mbele

Dont question my question Mr. Saanane!!!jibu hoja na usipandikize hoja..hata neno msomi kwa jinsi ulivyolitumia wewe linaweza kuwa tusi....usiniambie niachie hoja kwa udhaifu wako wa kushindwa kujibu hoja.......ni upuuzi kuacha busara za mpunbavu zikawatawala werevu mkuu.
 
kama katiba ipo juu ya yote na ni kila kitu kama unavyojaribu kutuambia mbona katika kufanya uchaguzi ndani ya chama mnaikanyaga na mnasherekea iweje kuwafukuza wenye mtazamo tofauti na nyinyi mnabase on constitutional supremacy!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Kwa mujibu wa katiba ya CHADEMA sura ya sita 6.3.3 Kurekebisha tarehe ya uchaguzi mkuu wa chama.
(a) Tarehe ya uchaguzi mkuu wa chama inaweza kurekebishwa kwa kusogezwa mbele kwa muda usiozidi mwaka mmoja toka nwisho wa uhalali wa uongozi uliopo.

(b) Mamlaka ya kufanya marekebisho haya yameachiwa kamati kuu.

(c) Kamati kuu ndiyo itapanga tarehe ya uchaguzi wa mabaraza ya vijana, wanawake na wazee wa chama.

Kwa kuwa uchaguzi mkuu wa chadema ulifanyika mwezi Septemba 2009, uchaguzi mwingine kwa mujibu wa katiba sura ya sita (Muda wa Uongozi) 6.3.2 (a) inasema... kila uongozi uliochaguliwa au kuteuliwa wakati wa uchaguzi mkuu wa chama utashika wadhifa wake kwa kipindi cha miaka mitano. Kwa maana hiyo uchaguzi mkuu kwa mujibu katiba ulipaswa kuwa Sept 2014.

Kwangu mimi naiona busara ya kutumia 6.3.3 (a) kusogeza mbele uchaguzi kwa kuwa katiba itakuwa haijavunjwa lakini pia kukivusha chama salama na uongozi uliopo hasa ikizingatiwa kuwa mwaka huu (2014 - 2015) kutakuwa na mihemko mingi ya uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu.
 
kikuweli baregu kama kiongozi ndani ya chadema hakustahili kusema hivyo, kauli zake zina katisha tamaa hasa kwa wanachama wa chadema....pia ni jambo ya kushangaza kwa profesa kushauri katiba isifwate!...
 
Huyu Mzee Prof.Mwesiga Baregu nishamamdharau toka kipindi atuletee ujinga kwenye tume ya Katiba, Huyu Mzee kapoteza sifa za kuwa upande wa upinzani kama CHADEMA, naamini kabisa huyu mzee ni miongoni mwa masalia nguli waliobaki CHADEMA ambao wataendelea kukitesa chama,

POOR BAREGU.
Hivi na wewe ni nani Chadema mpaka unamshambulia huyu mzee.
 
Prof yupo sahihi mnaompinga mmebase kwenye ukereketwa na ushabiki zaidi. Binafsi naunga mkono sera, ilani na harakati za chama. Linapokuja suala la mtazamo bnafsi kwa mwanachama ni bora likawaresolved kiungwana zaidi na si kutunishiana misuli na fukuzafukuza.
Siungi mkono Context za mkakati wa mabadiriko lakn contents zake baadhi zilipaswa kuzingatiwa. Kitila, Mwigamba na Zitto walikiri makosa ndio maana wakaomba kujihudhuru nyadhifa zao. Baregu, Marando, Safari na baadhi walishauri yaishie hapo. Lakini Lissu&co wakaenda mbali zaidi kung'ang'ania ili chama kionekane kina maamuzi mazito yapasa tuwawajibishe... hawa ndo motives of the prevailing part disobadiance.
Kuweni waangalifu na hili na muelewe kuwa anayeumia ni mwananchi mnyonge wa Taifa hili ambae kila kukicha analilia ukombozi.
 
  • Thanks
Reactions: kpm
Back
Top Bottom