mkulima gwakikolo
JF-Expert Member
- Nov 22, 2014
- 1,767
- 2,858
​utaumbuka mwisho wa sikuMwaka huu tunataka Rais wa umri wa kati miaka ya kinamwandosya hapana,Lowasa,membe,slaa na wengine wenye umri kama huo hapana.
Mwandosya mgonjwa, Rais ajae ni Lowasa[/QUOTE
Wote hao William Ngeleja kawazidi kete
Mwaka huu tunataka Rais wa umri wa kati miaka ya kinamwandosya hapana,Lowasa,membe,slaa na wengine wenye umri kama huo hapana.
Mwandosya mgonjwa, Rais ajae ni Lowasa
Mmh, kama Mwandosya ni mgonjwa, basi EL ni matuhuti taabani, maana kulingana na taaarifa....wee acha tu. Sidhani kama mtu anaempendelea EL anaweza kutumia suala la Mwandosya kuwa mgonjwa - kwa kumlinganisha na EL; ni kama kujipiga risasi mguuni wakati ukimlenga adui.
Huyu anayeomba huruma ya Mtekaji wake CCM km Mrema...umemsikia alichokuwa akiongoea bungeni siku za karibu...wanashindana na mrema ktk kuomba fadhila za CCM km vile CCM wamewapa mchujo ili wamchukue mmojaMojawapo ya vichwa vya magazeti leo,ni kuongezeka kukubalika kwa Professor Mark Mwandosya katika urais .je wadau Huyo anaweza shndana na El katka mbio hizo kw tkt ya Ccm?
Hivi bado watanzania great thinkers wana mtindio wa ubongo wa kuacha ku discuss issues but peopole? Kwa hiyo unategemea kurushusha viwango vyetu vya akili kuanza kumjadili Mwandosya? he is too small katika habari za maisha yetu na nchi hii. Hayo jadili na CCM kwenye chama chenu sisi si wa kwenu mahali pekee tutakapokutana ni kwenye kura na tayari tunjua hatumchague huyo muajiri wako mpya. Can you imagine unalinganisha jambo serious kama uchaguzi wa Rais kwa kutumia maneno ya taarabu, kithen party na kumtoa mwali, nyie lazima mswage maana akili hakuna
Mwaka huu tunataka Rais wa umri wa kati miaka ya kinamwandosya hapana,Lowasa,membe,slaa na wengine wenye umri kama huo hapana.
Mwandosya mgonjwa, Rais ajae ni Lowasa
Mwaka huu tunataka Rais wa umri wa kati miaka ya kinamwandosya hapana,Lowasa,membe,slaa na wengine wenye umri kama huo hapana.