Mkoroshokigoli
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 14,593
- 5,583
Naskiliza uchambuzi wa magazeti hapa kupitia Morning Magic, Prof Mwandosya nae amesema anataka kuwa raisi.Habari hii imeandikwa na Gazeti la MTANZANIA, NA UHURU.
Naona mbio zinapata washiriki wa kutosha hasa
Mkuu hayo maoni yako tusubiri watanzania waamue wenyewe huwezi kutabiri mapema kiasi hiki.Lowassa tu!!!! Hakuna mwingine wao waendelee tu kimya kimya na kamati ya maadili imesahau majukumu.
Ndio hao hao wanaowatuma watu kusema Lowasa mgonjwa. Kweli vituko havitakaa viishe.
Baba Sekela nae! Anadhani watanzania ni wasahaulifu wa kiasi kikubwa kihivyo mpaka kusahau kashfa zake akiwa waziri wa mawasiliano!
Mkuu hayo maoni yako tusubiri watanzania waamue wenyewe huwezi kutabiri mapema kiasi hiki.

Ni vema wajitokeze wengi ili tuweze kuwachuja vizuri hatimaye kupata rais bora mmoja anayetakiwa na watanzania.
Mkuu hayo maoni yako tusubiri watanzania waamue wenyewe huwezi kutabiri mapema kiasi hiki.
Lowassa tu!!!! Hakuna mwingine wao waendelee tu kimya kimya na kamati ya maadili imesahau majukumu.
Ni vema wajitokeze wengi ili tuweze kuwachuja vizuri hatimaye kupata rais bora mmoja anayetakiwa na watanzania.
Lowassa tu!!!! Hakuna mwingine wao waendelee tu kimya kimya na kamati ya maadili imesahau majukumu.
Walizusha Lowassa ni fisadi wakashindwa. Wakaja na Angenda mpya Lowassa ni mgonjwa wakashindwa. Hakuna aliyewahi kusikika akitaja mwandosya ni mgonjwa humu jamvini.
Lowassa ni zaidi ya mmjuavyo, ni zaidi ya mnavyo muona. Yeye yupo na leo nawaeleza kuwa ametumwa na Mungu kuja kuliokoa hili taifa. Ndiyo maana baada ya genge la watu fulani la wasaka madaraka kushindwa wananza kusema oh sijui kakutana Nchimbi, Oh sijui kakodi ndege kaenda kanda ya ziwa amerudi akiwa amechoka.
Afya ya Lowassa ni imara kweli. Yeye yuko kimya wamemtukana matusi yamewakauka vinywani mwenu hajasema chochote kwa sababu ana busara za kutosha alizopewa na mwenyezi Mungu.
Hajatangaza nia kama hao wengine. Nahisi siku atakapotamka wale mnaompinga hapa watachanganyikiwa.
Lowassa ukimya wako ni busara. Wanapokuombea mabaya kila siku ndiyo Mungu anatoa ufunuo kama lowasa akiwa rais tutaongozwa na makamu kama yale ya OMAR YARADOUA NA GUDLUK JONATHAN hivo nyie wapiga debe mchague mgombea mwenza awe mzul
Huyo jamaa yenu fisadi amejaribu kuwaua wenzie ili apunguze ushindani lakini Mungu kamuumbua sasa watashindana naye wakati yeye mwenyewe afya mgogoro mkubwa. Muweke akiba maana hatapata urais aidha kwa afya au ufisadi