Nyie mnaosema aliimudu wizara ya Afya mnajua madudu aliyoyafanya huyu prof??!!watu walifurahi kuwa wamepata mwanazuoni mwenzao angewafaa..,lakini wapi.JAMAA akawa mpole kuliko kawaida.ILE WIZARA inaendeshwa na Blandina Nyoni,YEYE ndio last order pale,yule jamaa kila kitu alikuwa anatimiza tu matakwa ya yule mama.Haiba yake ya upole ilimfanya awe reduced to mfungua makongamano na mgeni rasmi wa warsha mbalimbali.
Mbaya zaidi kuna uozo mkubwa sana umefanyika pale AFYA katika kipindi cha uongozi wake,fedha za wahisani zimeliwa hovyo,idara zimekuwa zikifanya kazi katika mazingira magumu mno,utoaji wa huduma umedorora.
HE was HOPELESS.