Prof. Mwakyusa naona pia kaachwa, wizara ya Afya aliimudu

UWEZO_WAKO

Member
Nov 17, 2010
39
4
kwa maoni yangu Prof. Mwakyusa angeachwa aendelee na wizara ya Afya, japokuwa ni kimya naona kama aliimudu.
 
Kweli Prof aliiweza sana ila labda wamemuona tishio kwa 2015. Ni mmoja wa watu safi wachache waliobakia.
 
Nyie mnaosema aliimudu wizara ya Afya mnajua madudu aliyoyafanya huyu prof??!!watu walifurahi kuwa wamepata mwanazuoni mwenzao angewafaa..,lakini wapi.JAMAA akawa mpole kuliko kawaida.ILE WIZARA inaendeshwa na Blandina Nyoni,YEYE ndio last order pale,yule jamaa kila kitu alikuwa anatimiza tu matakwa ya yule mama.Haiba yake ya upole ilimfanya awe reduced to mfungua makongamano na mgeni rasmi wa warsha mbalimbali.
Mbaya zaidi kuna uozo mkubwa sana umefanyika pale AFYA katika kipindi cha uongozi wake,fedha za wahisani zimeliwa hovyo,idara zimekuwa zikifanya kazi katika mazingira magumu mno,utoaji wa huduma umedorora.
HE was HOPELESS.
 
ulitaka afe na wizara..ameshajichokea akae akingalia watu proffessional
 
Kweli Prof aliiweza sana ila labda wamemuona tishio kwa 2015. Ni mmoja wa watu safi wachache waliobakia.

Usafi wa mwakyusa uko wapi au kwa vile hajawahi kuingia kwenya anga za Dr Slaa, ungeshangaa kwani we uliyajua ya Makamba na Kinana.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom