VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,140
- 18,004
Si alimpa digrii ya heshima juzi kati sasa kuna shida akigonga hayo ma inter. per diemYeye ni Mteule bhanaa....aliyemteua anasikia? Wanajopo wenzake kiutawala wanathubutu kulisemea? Tusubirie moshi unafuka, na pengine moto ndiyo utafumua bati tuuone kwa juu...!
UDSM wamefanya mambo makubwa sana Kwa hivi sasa ukipita pale kuna renovation inaendelea, juzijuzi tu jengo jipya LA UDBS lilifunguliwa. Lectures wengi wamepelekwa kusoma PhDs nje ya nchi. Ukizingatia pia chuo kinajitegemea kwa kiasi kikubwa. Fanya utafiti usitoe mada za kuambiwa.
'Amekuwa akilazimisha matumizi ya kufuru kwake na familia yake. Kwasasa chuo kiko kwenye hali mbaya kiuchumi. Malipo na miradi mbalimbali imesimama kwakuwa hakuna fedha. Zimemalizwa' kimesema chanzo toka UDSM.
Kwasasa,Prof. Mukandala yuko nchini Marekani kwa safari yake binafsi lakini imegharimiwa na UDSM. Viongozi wetu wanapaswa kujitazama vyema na kutenda haki!
Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
Vyuo vyote vya umma vina hali mbaya kuliko saizi kulipa bill ya umeme tu issue........
Nionavo mimi, Mukandala has nothing to loose. Anajua by anymeans ataondoka baada ya JK kuondoka madarakani, ngoja amalizie vya mwisho mwisho. Hii ndo bongo bana. Kwenye colleges kama MKWAWA mpaka sasa wiki ya tano wahadhiri wameshindwa kwenda field kuassess wanachuo. Malipo yamesitishwa tangu mwezi Mei kwa sababu chuo hakina hela. Ulitaka Mukandala afanyaje?