Wakuu,
Kuna sekeseke linaendelea chini kwa chini ambalo likifumuka linaweza kupelekea Prof. Muhongo kuhamishwa Wizara au kupoteza nafasi yake.
Kifupi ni kuwa jamaa kaingilia maslahi ya wakubwa na kwa sasa mambo si mambo. Tutayasikia ya kusikika muda si mrefu.
Nimeandika ili wajue tayari tumejua, tuna taarifa za ndani zaidi na tunafahamu kinachoendelea kati yetu na wamarekani.
Mara zote nisome vema. Nasimamia hoja zangu, na kama una access na Ikulu, uliza kwanini JK kasitisha ghafla kwenda Ethiopia. Uliza nini kinaendelea kati ya Ubalozi wa Marekani na Ikulu yetu.mkuu toa taarifa kamili tena kwa uthibitisho, tunashindwa kuelewa na itachukuliwa kama umbea na porojo za kijiweni.
Kwenye bold hapo! Ndo JK anapopata wakati mgumu. Ngoja tuone upepo huu kama utafanikiwa kupita.Weka vitu mkuu! Prof. Mcassava wewe unafaa sana, jembe lenye kuchapa kazi nakuomba tu uwe makini wasije wakakulimboka au kukumwakyela.
Vuta subira.Validate your statement Please. Kwanini kuto taarifa nusunusu? mimi hapo sijaona cha kucomment kwa taarifa ambayo ni INCOPMLETE.
Hii Wizara ni ngumu sana, Muhongo si mwanasiasa; anajaribu kufanya kazi na kuziba mianya mingi ya rushwa, ameanza kukumbana na vigingi kwenye Nishati, kila sehemu anawindwa. Akikosea tu, wanayeyaan maliasili na NISHATI hata malaika hawez kuja kuiongoza:sleepy:
Mara zote nisome vema. Nasimamia hoja zangu, na kama una access na Ikulu, uliza kwanini JK kasitisha ghafla kwenda Ethiopia. Uliza nini kinaendelea kati ya Ubalozi wa Marekani na Ikulu yetu.
Kwenye bold hapo! Ndo JK anapopata wakati mgumu. Ngoja tuone upepo huu kama utafanikiwa kupita.
Vuta subira.
Hii Wizara ni ngumu sana, Muhongo si mwanasiasa; anajaribu kufanya kazi na kuziba mianya mingi ya rushwa, ameanza kukumbana na vigingi kwenye Nishati, kila sehemu anawindwa. Akikosea tu, wanaye
Wakuu,
Kuna sekeseke linaendelea chini kwa chini ambalo likifumuka linaweza kupelekea Prof. Muhongo kuhamishwa Wizara au kupoteza nafasi yake.
Kifupi ni kuwa jamaa kaingilia maslahi ya wakubwa na kwa sasa mambo si mambo. Tutayasikia ya kusikika muda si mrefu.
Nimeandika ili wajue tayari tumejua, tuna taarifa za ndani zaidi na tunafahamu kinachoendelea kati yetu na wamarekani.
yaan maliasili na NISHATI hata malaika hawez kuja kuiongoza:sleepy:
Makofi yote yale Bungeni wamuamishe wizara? ........................
Validate your statement Please. Kwanini kuto taarifa nusunusu? mimi hapo sijaona cha kucomment kwa taarifa ambayo ni INCOPMLETE.
Sasa kama unamuingilia boss wako anayejidai kuwa msafi wakati ni mambo yake kichini chini!!!