Ubungoubungo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2008
- 2,502
- 743
Mwacheni aje aone mwenyewe..........
Mpeni moyo, pengine atachaguliwa na maprofesa wenzake.
Professa Muhongo ni miongoni mwa Maprofessa wapumbav hapa Tanzania.
Yaani kuibuliwa kisiasa na Kikwete tu na kupewa ubunge wa viti maalum na Uwaziri wa ukuwadi kwa miaka mitatu tu, eti naye anataka urais?! Nimemdharau kabisa.
Kweli hii nchi haiishi maajabu..!!
amini usiamini, muhongo akigombea anapita. pamoja na kwamba alijiuzuru lakini kwa kipindi chake ameonyesha uwezo mzuri sana kushughulikia mambo. anaweza kuwa aliboronga issue ya escrow, hela ambazo zilikuwa za mtu binafsi hata mimi ningechukua, si za rugemarila? tena ruge alilipa na kodi? zingekuwa za tanesco hapo mngesema. tofautisha waliochukua hela za ruge na mwanasheria mkuu aliyesababisha kodi isilipwe tukala hasara ya 27 bl. hao wengine walichukua hela za mtu binafsi tena aliyelipa kodi. hawajachukua hela za singasinga hao, ni za ruge, hata mimi ruge angetaka kunipa ningechukua. jueni kuwa kufukuzwa kwao wamefukuzwa si kwasababu wameiba la, ndio maana hawajapelekwa mahakamani, na mahakamani hawapelekeki. walifukuzwa kwa kukiuka maadili ya umma yanayowataka ukipata hela nyingi uzitangaze/declare na wao hawakudeclare. na tatizo kama hilo adhabu yake huwa sio criminal, ni uwajibishwaji wa aina ile tu.tushagundua ni usanii mtupu...
Mpime kwa kazi yake, ubufunifu wake, weledi wake hapo ndo utajua maana halisi ya unachodai!! Prof Muhongo ni mtu makini sana, Mzalendo na mpenda mabadiliko ya Tanzania ya leo na ya kesho.Professa Muhongo ni miongoni mwa Maprofessa wapumbav hapa Tanzania.
Yaani kuibuliwa kisiasa na Kikwete tu na kupewa ubunge wa viti maalum na Uwaziri wa ukuwadi kwa miaka mitatu tu, eti naye anataka urais?! Nimemdharau kabisa.
Hizi njaa na elimu ya kijinga mnayopata mtajikuta mmeuza nchi bila kujitambua!! Mtu anaye amini Watanzania hatuna uwezo wa kushiriki ktk uchumi wa gesi na petroli unataka awe Rais ili kuisadia Tanzania kitu gani?? Mjinga wewe!
Suala la Escrow mpaka sasa bado haujilielewa mkuu!!! Kwani aliyekuwa anazitunza ni nani??? Na umeme ulifuliwa na nani? Na sasa nani anaendelea kuzalisha?? Ukifikiria zaidi utaona Muhongo alikuwa mchapakazi sana.
Endelea.kuishi sayar ya mars sweetheart, dream dream 
Mwizi mwizi mwizi nwizi mwizi
Ninaelewa kuliko unavyodhani.Ndiyo maana nimesema atuambie UKWELI kwanza mengine yanfuata.Sababu UKWELI DAIMA UNAKUACHA HURU.Kumbuka YAwezekana mkaddhani watanzania wote ni MALIMBUKENI,basi kama mnadhani hivyo mjue mmekosea sana.
Tunasoma between the lines............................
amini usiamini, muhongo akigombea anapita. pamoja na kwamba alijiuzuru lakini kwa kipindi chake ameonyesha uwezo mzuri sana kushughulikia mambo. anaweza kuwa aliboronga issue ya escrow, hela ambazo zilikuwa za mtu binafsi hata mimi ningechukua, si za rugemarila? tena ruge alilipa na kodi? zingekuwa za tanesco hapo mngesema. tofautisha waliochukua hela za ruge na mwanasheria mkuu aliyesababisha kodi isilipwe tukala hasara ya 27 bl. hao wengine walichukua hela za mtu binafsi tena aliyelipa kodi. hawajachukua hela za singasinga hao, ni za ruge, hata mimi ruge angetaka kunipa ningechukua. jueni kuwa kufukuzwa kwao wamefukuzwa si kwasababu wameiba la, ndio maana hawajapelekwa mahakamani, na mahakamani hawapelekeki. walifukuzwa kwa kukiuka maadili ya umma yanayowataka ukipata hela nyingi uzitangaze/declare na wao hawakudeclare. na tatizo kama hilo adhabu yake huwa sio criminal, ni uwajibishwaji wa aina ile tu.
lakini asilimia ya watz wengi walimsapoti sana mhongo wakimtofautisha na ngereja ambaye kila siku tulikuwa na mgao, mhongo alikuja hatukuwa na mgao kwa muda mrefu sana na umeme umepanuliwa sana. sema tatizo alilofanya ni hilo kupokea hela kwa ruge na hakudeclare. hata rais wako alisema zile hela hazikuwa za umma, na ni kweli hazikuwa za umma.
ukiona ccm wamekosea leo hii wakamweka mhongo, amini usiamini hata ukawa wafanye nini atapita, na akipita ataifikisha hii nchi pazuri tu. hakuna asiyejua uwezo wa mhongo kwa tz hii. watu wana macho hata akiwa mchafu lakini ana mazuri yake.
"Nimeshafanya uamuzi kuhusu suala la Urais katika uchaguzi ujao. Ninachosubiri ni chama kutangaza ratiba"
Yawezekana ukadhani mimi ninaishi sayari ya MARS lakini mwenzangu ukawa umelela usingizi MZITO sana kiasi kwamba hata mifuko yako akija mtu anachomoa TARATIBU na kusepa na wewe bado upo kwa shuka.USINGIZI MWEMA.
Wenzako tualiamka kabla yako.............................:lalala::lalala::lalala:
Jenga hoja ni kwanini? Na unamlinganisha na nani! Yaani hafai kuwatafutia Watanzania kusoma nje na ndani kuhusu mafuta na gesi? Kuwapelekea umeme Wananchi wa vijijini? Kusimamia kwa umakini mkubwa ujenzi wa bomba la gesi?.....Muhongo kwa sasa hivi hafai hata kuwa mkuu wa kitengo cha jiolojia udsm atapotosha wasomi.
Weeee basi nifunike jamani mpenzi
Kila mtanzania ana haki ya kuchagua na kuchaguliwa, simple usitoke povu sana mzee
Eh yaani na huyu anataka kuwa rais? si atauza hata nguzo za umeme kwa singasinga:yo:
Hahahahah usinitafutie kesi mie EL babu yangu...hamna cha zaidi apo mkuu...EL FOR TZZZ
Ukishakashifu; au kejeli na mitusi; Hapo ndio upeo wa uwezo wako wa kufikiri??!!; na unatitle ya JF senior expert member kabisaaa?! Pathetic indeed! Huna tofauti na Muongo mwenyewe no wonder unampigia debe! Bs