Professa Muhongo ni miongoni mwa Maprofessa wapumbav hapa Tanzania.
Yaani kuibuliwa kisiasa na Kikwete tu na kupewa ubunge wa viti maalum na Uwaziri wa ukuwadi kwa miaka mitatu tu, eti naye anataka urais?! Nimemdharau kabisa.
Ninaemjua huyuhuyu wa ESCRO?
Lowasa na Muhongo wote hawana sifa za kugombea uraisi majizi yote hayo
View attachment 237103
ana kipaji cha uwongo mshaurini akaombewe kwa Gwajima sasa
OMG!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Ama kweli Tanzania imekuwa kichwa cha mwendawazimu! Hata Muongo anataka kugombea Urais?! kama ni hivi; Sitashangaa kusikia hata Livingstone Lusinde; Assumpta Mshama; Hawa Ghasia; Aden Rage na Maji Marefu nao wakijitosa ulingoni! Ama kweli Tanzania yangu umekuwa hivyo mpaka uongozwe na watu kama hawa?! God save my country!
Akituambia UKWELI juu ya sakata la ESCROW na nani alimshawishi wajichotee kwenye hiyo account,tutamfikiria kidogo.
Mwaka huu mpaka mamba watatangaza nia ya kugombea urais kupitia CCM.
Mpeni moyo, pengine atachaguliwa na maprofesa wenzake.
UKAWA TUCHUKUENI NCHI HII.Hizi zote usanii na ni CCM HATA HII ACT CHA ZITO NI PLAN TU YA CCM.
Safi sana jembe Muhongo tunakuhitaji.
Urais dili eh..sijaona mwaka kama huu kila mtu anataka agombee urais afu ndani ya chama kimoja!!! kweli kazi ipo.. ngoja waendelee kupiga makelele ila Rais wangu ni EL!!!:smile-big:
Professa Muhongo ni miongoni mwa Maprofessa wapumbav hapa Tanzania.
Yaani kuibuliwa kisiasa na Kikwete tu na kupewa ubunge wa viti maalum na Uwaziri wa ukuwadi kwa miaka mitatu tu, eti naye anataka urais?! Nimemdharau kabisa.
Mwaka huu mpaka mamba watatangaza nia ya kugombea urais kupitia CCM.
Tukiacha ushabiki wa vyama na wa watu, tukaangalia Umakini wa ujendaji... Muhongo yuko juu sana .... Na akipewa hii nchi ninaamini kwa miaka 10 tutaona mabadiliko ya ajabu...
Safi sana jembe Muhongo tunakuhitaji.