Leo baada ya Kipindi cha Maswali na Majibu Bungeni nilibahatika kuwa karibu na TV huku nikiingalia TBC japo Sijisikii Vizuri kutizama kituo hiki cha TVCCM. Lakini kwa kua sikua na njia Mbadala kwani nilikua na hamu sana ya kumuona Waziri wa Nishati na Madini,mwenye Mbwembwe nyingi Prof Muhongo akihitimisha hotuba ya Bajet ya wizara yake.
Kama nilivyotarajia kweli alianza kwa kuikosoa Hotuba ya kambi ya upinzani kuwa ni ya Porojo na haina takwimu. Tena akawashauri wapinzani wakajifunze kwa Wafadhili wao jinsi ya kuwasilisha Bajet ya Upinzani.
Hakuishia hapo bali alimkosoa Sendeka kwa kumuita Muongo anaemlisha Mh rais maneno ambayo hakuyasema.
Baadae nilimshangaa wakati akiwasisitiza Wabunge na wananchi kua kila mmoja anae msikiliza achukue,Kalamu na Karatasi kwani anaenda kutoa Takwimu Kisayansi na sio Porojo! Pale na mimi nikachukua Kalamu na Karatasi.Hakika baada ya kuelezea mambo ya ujenzi wa Bomba la gesi kutoka Mtwara kuja Dar km Zaidi ya 400 na kufananisha garama na umbali wa ujenzi wa bomba la nchini China km 8000,Naigeria 500,Brazil 400na Ujerumani kwa hakika nikajua kweli huyu ndie Profesa.
Likaja swala la ukuaji wa Uchumi.Hapo ndipo niligundua kwamba jamaa anasoma vitu vya kuambiwa baada ya KUSEMA KUWA UCHUMI WA TANZANIA UNAKUA KWA CENTEMETRE 6 HADI 7 kwa Mwaka. Hakika baada ya kusikia hivyo nilitupa kalamu na kusema Kimoyomoyo kumbe Profesa ni Mtupu na hana tofauti na Prof Maji Marefu!!
nimepitwa na kioja cha wiki..... CENTEMETRE.... CENTIMETER.... Kipimo kipya cha ukuaji wa uchumi.....!!!!
Maghembe unamwonea sana. How can you compare this arrogant professor na Maghembe? Hata hivyo baada ya kuzidiwa mwishoni alikiri kuwa bado yuko kwenye learning curve. Bila shaka atakapokuwa amehitimu atajua uchumi haukui kwa sentimita.Ndio maprofessa wa tanzania hao bado Magembe.
Ulimi uliteleza tu bahati mbaya na alirekebisha hapo hapo
Ni Uongo kua ulimi uliteleza! Mbona Ulimi haukuteleza Kukosoa Hotuba ya Upinzani iliyowasilishwa na Waziri kivuli Mh JJ Mnyika?
Isitoshe kua kama ni ukweli mbona Spika ndie alimsahihisha? Lakini si hivyo tu Pro alikua akikosea takwimu wakati wa kutamka mahesabu kutoka US$ dola kwenda TZ shs.alipogundua kuwa anakosea akawa anasema sasa sitaji tena Tzsh isipokua nataja kwa Us$Dola.
Si hivyo tu kuthibitisha kua Huyu Prof hana kitu wakati akijibu hoja ya Sendeka alikua akisema wakati mh Rais alipotembelea "MKOA WA SIMANJIRO" hakuwahi kutoa Ahadi ya Kuwagawia Wachimbaji wadogo wadogo Migodi Mererani.
Kataa ukubali huyu Jamaa ni Mtupu sana isipokua Kabebwa tu na Mh Rais na kujikuta na yeye ni Waziri.
CCM (GENGE LA WAHUNI) HAIKUBALIKI TUSHIRIKIANE KUITOKOMEZA!!!!
Leo baada ya Kipindi cha Maswali na Majibu Bungeni nilibahatika kuwa karibu na TV huku nikiingalia TBC japo Sijisikii Vizuri kutizama kituo hiki cha TVCCM. Lakini kwa kua sikua na njia Mbadala kwani nilikua na hamu sana ya kumuona Waziri wa Nishati na Madini,mwenye Mbwembwe nyingi Prof Muhongo akihitimisha hotuba ya Bajet ya wizara yake.
Kama nilivyotarajia kweli alianza kwa kuikosoa Hotuba ya kambi ya upinzani kuwa ni ya Porojo na haina takwimu. Tena akawashauri wapinzani wakajifunze kwa Wafadhili wao jinsi ya kuwasilisha Bajet ya Upinzani.
Hakuishia hapo bali alimkosoa Sendeka kwa kumuita Muongo anaemlisha Mh rais maneno ambayo hakuyasema.
Baadae nilimshangaa wakati akiwasisitiza Wabunge na wananchi kua kila mmoja anae msikiliza achukue,Kalamu na Karatasi kwani anaenda kutoa Takwimu Kisayansi na sio Porojo! Pale na mimi nikachukua Kalamu na Karatasi.Hakika baada ya kuelezea mambo ya ujenzi wa Bomba la gesi kutoka Mtwara kuja Dar km Zaidi ya 400 na kufananisha garama na umbali wa ujenzi wa bomba la nchini China km 8000,Naigeria 500,Brazil 400na Ujerumani kwa hakika nikajua kweli huyu ndie Profesa.
Likaja swala la ukuaji wa Uchumi.Hapo ndipo niligundua kwamba jamaa anasoma vitu vya kuambiwa baada ya KUSEMA KUWA UCHUMI WA TANZANIA UNAKUA KWA CENTEMETRE 6 HADI 7 kwa Mwaka. Hakika baada ya kusikia hivyo nilitupa kalamu na kusema Kimoyomoyo kumbe Profesa ni Mtupu na hana tofauti na Prof Maji Marefu!!
Muhongo hana uelewa wa aina yoyote. Hizo ni laana za kumuua mkewe ndo zinazomuandama kila anakokwenda.....Tuanze kuchungunza usomi wake. Kasoma wapi isije ikawa kimeo ndo amepewa wizara yetu....Aibu gani sasa !
Uchumi wa nchi kukua kwa centimeter! Kweli hotuba ya Karne ! Akajifunze kuwasilisha hotuba kwa wakina Kagasheki na Mwakyembe !
Tatizo liko wapi, unajua vigezo vya ukuaji uchumi ni Tofauti na Ustawi wa Jamii? Yule Profesa keshasema yeye haongelei porojo kama unazoleta hapa? Economic Growth na Welfare of Society ni Vitu viwili tofauti sio kwa Tanzania ni Dunia nzima ila Kwa kuwa wewe ni bwe.gwe ukatupa kalamu na kurukia ki laptop/PC chako kuwahi kuleta uj.inga wako. Thibitisha kuwa uchumi haukui kwa kiwango hicho, Hata Tafiti za WB na IFM zinasema the same thing, Ukuaji wa Uchumi hauzungumzii Mlo mmoja au kuishi chini ya Dola moja kwa siku hayo hayana uhusiano na Economic Groth, Shule mlipata vyeti badala ya elimu basi walau muwe mnazurura Mtaa GOOGLE mnaweza mkaziba viraka ya u.jinga vilivopo kichwani. Hapo kwenye Red umemlisha maneno Profesa Vipimo vya ukuaji wa uchumi havitumii vipimo vya CENTEMETR.
Na wewe unaunga mkono U profesa wa mtu unapimwa kwa Typing Error? Ina maana Profesa ulimi ukiteleza akajirekebisha hapo hapo basi unabeba pale alipoteleza ulimi unaleta thread ya kumvua u Profesa? U profesa haumfanyi kutofautiana na maumbile ya kibinadamu kama vile kukosea au ulimi kuteleza! Msiwe mnatuletea maneno ya Salun jukwaani!Yaani we ndo umejidhihirisha na ujinga wako. Kama hukuelewa mtoa mada alimaanisha nini ,ungekaa kimya.
Naomba kujua alimuuaje mkewe?
Tatizo liko wapi, unajua vigezo vya ukuaji uchumi ni Tofauti na Ustawi wa Jamii? Yule Profesa keshasema yeye haongelei porojo kama unazoleta hapa? Economic Growth na Welfare of Society ni Vitu viwili tofauti sio kwa Tanzania ni Dunia nzima ila Kwa kuwa wewe ni bwe.gwe ukatupa kalamu na kurukia ki laptop/PC chako kuwahi kuleta uj.inga wako. Thibitisha kuwa uchumi haukui kwa kiwango hicho, Hata Tafiti za WB na IFM zinasema the same thing, Ukuaji wa Uchumi hauzungumzii Mlo mmoja au kuishi chini ya Dola moja kwa siku hayo hayana uhusiano na Economic Growth, Shule mlipata vyeti badala ya elimu basi walau muwe mnazurura Mtaa GOOGLE mnaweza mkaziba viraka ya u.jinga vilivopo kichwani. Hapo kwenye Red umemlisha maneno Profesa Vipimo vya ukuaji wa uchumi havitumii vipimo vya CENTEMETR.