Prof. Muhongo: Mtu aliyesoma vizuri hateteleki

kidole007

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2012
Posts
3,094
Reaction score
1,877
Hayo ni maneno ya prof Muhongo akiwa huko jimboni kwake amewaasa wanachi kuwekeza kwenye elimu maana mtu mwenye elimu hateteleki hata ikija dhoruba kali.

My take: ule upande uliombwa vyeti ukalia kama umefiwa nendeni shule muda bado upo.
 
Mtu mwenye msimamo ateteleki, "if you don't stand for something you will fall for anything" Bob Marley
 
Hayo ni maneno ya prof Muhongo akiwa huko jimboni kwake amewaasa wanachi kuwekeza kwenye elimu maana mtu mwenye elimu hateteleki hata ikija dhoruba kali.

My take: ule upande uliombwa vyeti ukalia kama umefiwa nendeni shule muda bado upo.
Natumai ulimaanisha "Hatetereki"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu profesa wa miamba pale GEOLOGY udsm.

Elimu ni hazina., Tumekusoma mhe. prof

sent from servant of God
 
Huyu jamaa yupo? Nimejua kwa nini Nappe mpaka leo anarusharusha miguu.

Uwaziri kwa Tanzania ni mtamu sana.
 
Duuuh,

Mkuu acha kukumbushia ule upande wa kushoto mkuu. Utaleta balaa bure sasa hivi.

Nawaza tu kwa sauti.
 
Hayo ni maneno ya prof Muhongo akiwa huko jimboni kwake amewaasa wanachi kuwekeza kwenye elimu maana mtu mwenye elimu hateteleki hata ikija dhoruba kali.

My take: ule upande uliombwa vyeti ukalia kama umefiwa nendeni shule muda bado upo.
Unamaanisha DAB,
Walisema RC, DC ajue kusoma na kuandika zile K3, Ndo maana anajipendekeza kwa baba yake.
 
Hayo ni maneno ya prof Muhongo akiwa huko jimboni kwake amewaasa wanachi kuwekeza kwenye elimu maana mtu mwenye elimu hateteleki hata ikija dhoruba kali.

My take: ule upande uliombwa vyeti ukalia kama umefiwa nendeni shule muda bado upo.
Tetereka sio teteleka
 
Back
Top Bottom