Prof. Muhongo /EWURA hurumia miti yetu kwa kupunguza bei ya gesi ya kupikia

mgt software

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
13,771
7,138
Wana JF,

Katika watu ambao hawakumbukwi kabisa ni watumiaji wa gesi ya kupikia, gesi hii inatumika pia katika mahospitali ambako hakuna umeme kwani kuna mafriji yanatumia gesi kuifadhi chanjo, siku za karibuni kumekuwa na hatua za madhubuti kufunguza bei ya petroli na disel huku bei ya mafuta ya taa kupaa aua kuachwa vile vile, kwa kukazia bei ya mafuta ya taa imetufanya turudi kwenye mkaa na kuacha tukiacha majiko ya mchina yakiozea nyumbani.

Muhongo tuonee huruma mabibi zetu wanaouuawa kwa kuwa na macho mekundu kisa kupikia mafi ya ng'ombe jamani, EWURA waokoeni hawa kwa kueneza gesi asilia.
 
Shida ni watu wa kusini. wakiambiwa tulaze bomba la gesi nchi nzima wao hawataki. Sasa hiyo gesi asilia utaibeba kwenye bakuli ?..lazima utandaze bomba nchi nzima ili gesi ipate soko.vinginevyo gesi itaishia kinyerezi. na bei ya gesi na mafuta soko la dunia inazidi kushuka.mtauza wapi.!
 
Back
Top Bottom