Prof. Muhongo awashukia watumbua majipu

The Phylosopher

JF-Expert Member
Mar 11, 2015
1,960
2,942
Waziri wa nishati na madini mheshmiwa Profesor Sospeter Muhongo ameshangazwa na baadhi ya viongozi kutumbua majipu kwa kujitafutia sifa na umaarufu kwenye vyombo vya habari bila kuzingatia sheria kanuni na taratibu.

Chanzo: Gazeti Uhuru
 
Muhongo kama anawasema JPM na Majaliwa atuambie tu manake hao akina Ummy Mwalimu atakuwa anawaonea kv role models wao ni Mr. President and his Prime Minister.
 
waziri wa nishati na madini mheshmiwa profesor sospeter muhongo ameshangazwa na baadhi ya viongozi kutumbua majipu kwa kujitafutia sifa na umaarufu kwenye vyombo vya habari bila kuzingatia sheria kanuni na taratibu source gazeti uhuru
Waandishi wa mzee "chache" mpo bize.
 
waziri wa nishati na madini mheshmiwa profesor sospeter muhongo ameshangazwa na baadhi ya viongozi kutumbua majipu kwa kujitafutia sifa na umaarufu kwenye vyombo vya habari bila kuzingatia sheria kanuni na taratibu source gazeti uhuru
Muhongo siku zake kubakia wizarani zinahesabiwa
 
Kwa nini zihasabiwe? Hafanyikazi? Kutofautiana mitazamo au kisa nini? Au Escrow? Kama issue ni mitazamo, hakuna sababu mahsusi ya kumtoa, kwani hiyo ni hoja nyepesi
 
Hongera Sana Prof.

Serikali ya awamu ya 5 imejenga mfumo wa ajabu sana..... Viongozi wanapima kwa uwezo wa kufukuza...
 
Kwa nini zihasabiwe? Hafanyikazi? Kutofautiana mitazamo au kisa nini? Au Escrow? Kama issue ni mitazamo, hakuna sababu mahsusi ya kumtoa, kwani hiyo ni hoja nyepesi
Ni mwizi mkubwa na bado mzimu wa Escrow upo kichwani mwake na haponi tu
 
waziri wa nishati na madini mheshmiwa profesor sospeter muhongo ameshangazwa na baadhi ya viongozi kutumbua majipu kwa kujitafutia sifa na umaarufu kwenye vyombo vya habari bila kuzingatia sheria kanuni na taratibu source gazeti uhuru

Ni wakati wake wa kuweka kumbukumbu sawa sawa kabla hajatolewa "kafara", asipofanya hivyo akiwa kwenye uongozi,hatasikilizwa kipindi atakachokuwa nje ya uongozi.

Yeye ni mwakilishi wa wananchi,ana dhamana Kubwa kwa jimbo lake kuliko kuzidi kung'ang'ania vyeo ambavyo waliompa wanaweza kuvitumia kujitafutia " pepo ya kisiasa"

Kama ningepata fursa ya kumshauri,ningemuomba aachane na uwaziri ili autumie muda wake kuwahudumia wananchi wa jimbo lake,nisingependa kuona anaingia kwenye historia ya "kulazimika kuachia madaraka mara mbili" ili kulinda "taswira"ya serikali yake.

Mh.Muhongo,ni wakati wako wa kufanya maamuzi magumu ya kuziachia nafasi uchwara ulizonazo ili kuilinda heshima yako kitaifa na kimataifa.Kwani uwaziri kitu gani?Ni heri kuwa mtumishi wa wananchi wa jimbo lako kuliko kuwa waziri katika serikali hii inayoendeshwa kupitia vyombo vya habari.
 
Waziri wa nishati na madini mheshmiwa Profesor Sospeter Muhongo ameshangazwa na baadhi ya viongozi kutumbua majipu kwa kujitafutia sifa na umaarufu kwenye vyombo vya habari bila kuzingatia sheria kanuni na taratibu.

Chanzo: Gazeti Uhuru
Prof amenena vyema inakera sana kwakweli
 
Waziri wa nishati na madini mheshmiwa Profesor Sospeter Muhongo ameshangazwa na baadhi ya viongozi kutumbua majipu kwa kujitafutia sifa na umaarufu kwenye vyombo vya habari bila kuzingatia sheria kanuni na taratibu.

Chanzo: Gazeti Uhuru
Ccm na vyombo vya habari ni sawa na nzi na kinyesi
 
Kama anataka kutumbuliwa aseme mapema. JPM hatafanya ajizi. Labda habari isiwe ya kweli.
 
Waziri wa nishati na madini mheshmiwa Profesor Sospeter Muhongo ameshangazwa na baadhi ya viongozi kutumbua majipu kwa kujitafutia sifa na umaarufu kwenye vyombo vya habari bila kuzingatia sheria kanuni na taratibu.

Chanzo: Gazeti Uhuru
kama kweli kasema basi itazua mashaka labda na yeye jipu. tukumbuke daima majipu lazima yatajitetea na sababu kama hizo. inauma kutumbuliwa hawawezi kukaa kimya.
 
Aliwahi kusema akijiuzulu Uwaziri hata Rais atamshangaa, kesho yake akaambiwa na Rais tupishe.
 
Muhongo kama anawasema JPM na Majaliwa atuambie tu manake hao akina Ummy Mwalimu atakuwa anawaonea kv role models wao ni Mr. President and his Prime Minister.
Kila mtu ana haki ya kutoa rai, wazo au fikra, aliyokuwa nayo, au kwasababu aliyesema ni Muhungo hana haki hiyo, kuna kipi alichosema kibaya hapo mpaka unafikiri anatakiwa ajieleze.
 
Back
Top Bottom