Prof mmoja aliwahi kuniambia, "Ogopa zaidi hapa dunia Watu wajinga, maana wakiwa wengi wanaweza kumchagua Rais"

Hawawezi elewa lakini ndo kipimo chao
Screenshot_20180828-013635_WhatsApp.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Attachments

  • IMG-20200116-WA0003.jpeg
    IMG-20200116-WA0003.jpeg
    2.8 KB · Views: 1
  • IMG-20200116-WA0003.jpeg
    IMG-20200116-WA0003.jpeg
    2.8 KB · Views: 1
  • Screenshot_20181123-191855.jpeg
    Screenshot_20181123-191855.jpeg
    47.8 KB · Views: 1
Mwaka 1961-1964 tangu taifa la Tanganyika litoke kupata uhuru lilikuwa na watu milioni 10+, na 88% walikuwa ni wajinga sana, 10% walikuwa ni wajinga wastani wakati 1% walikuwa ni werevu, na 1% walikuwa ni werevu sana!

Kutoka 1965-1985 sasa tukiitwa Tanzania, taifa lilikuwa linakadiriwa kuwa na watu milioni 30+, na watu 78% walikuwa ni wajinga sana, 12% walikuwa ni wajinga wastani, wakati 7% walikuwa ni werevu, na 3% walikuwa ni werevu sana!

Mwaka 1985-2000 taifa likikadiriwa kuwa na watu milioni 40+, watu 68% walikuwa ni wajinga sana, 22% walikuwa ni wajinga wastani, wakati 8% walikuwa ni werevu, na 2% walikuwa ni werevu sana!

Mwaka 2000-2013 taifa likikadiriwa kuwa na watu milioni 44+ watu 76% walikuwa ni wajinga sana, 20% walikuwa ni wajinga wastani, wakati 3% walikuwa ni werevu, na 1% walikuwa ni werevu sana!

Uthibitisho wa awali juu wa makala haya ni wewe ukianza kuhoji nani alifanya utafiti huu, kisimsingi jibu langu nitakuweka katika kundi la wajinga, Msingi mkuu tambua, Sababu za kushuka kwa ongezeko la werevu na kupanda kwa ongezeko la wajinga miaka ya hivi karibuni kunatajwa kuwa kumechochewa na mfumo mbovu wa elimu nchini.

Sasa kwa wafanya siasa hii ni rahisi sana kwao kwakuwa haiwalazimu kutumia sheria ama maadili ya "MIMMK" ambazo humuongoza mwanasiasa kuendesha siasa zake na kuyafikia malengo, wale mliobahatika kusoma elimu ya juu ya mikakati ya kisiasa mtakuwa mmenielewa.

Aghalabu Wajinga huishi kwa mifano. Yaani huwa hajui kubadilika kwake hadi tukio limtokee. Kwa mfano, wakati Mkapa anapitisha utandawazi na ubinafsishaji, marehemu Profesa Chachage L. Chachage aliandika paper na kuziwakilisha sehemu mbalimbali ikiwemo katika mkutano wa AU, Ethiopia mwaka 2000. Akawaambia watanzania jamani huo utandawazi haupo hivyo kama unavyohubiriwa na wanasiasa wa CCM na WASOMI wasaliti waliolipwa fedha ili waupambe mfumo huo mchafu.

Watanzania hawahawa walimjia juu Chachage na kumwita kuwa ana njaa. Na isitoshe mstaafu Mkapa akamkejeli kuwa wasomi wanapenda sana kulalamika lakini hawaji na suluhisho. Miaka michache baadaye watanzania wameona matokeo ya utandawazi kwa mifano. Sasa lililobaya ni kuwa serikali ya CCM au watanzania wenyewe hawajawahi kujiuliza tangu mfumo wa utandawazi uingie nchini umeleta faida gani.

Aidha Wajinga huwa ni watu wa kukaririshwa. Kwa mfano watanzania wakaririshwa kuwa matatizo yaliyosababishwa na serikali wayaite "changamoto", na ugumu uliotokana na serikali kutengeneza mazingira wezeshi wamekaririshwa wayaite "fursa". Nako utakuta mtanzania anatamka kama mwehu,
"Watanzania fursa zipo nyingi na nyingine zinaonekana kwa jicho la tatu" sasa ukimuuliza hizo fursa zikowapi, hakuambia bali atakubabaisha na kusema wewe zitafute tu utazipata.

Na lingine Wajinga huishi kwa mazoea, yaani kwa mfano, unga umepanda bei hapigi hata kelele atalalamikia ndani ya nafsi yake, mwishowe anazoea ile hali. Yaan kwa kifupi mjinga hajui haki yake, hajui wajibu wake ni upi, na hajui wajibu wa serikali kwake.

Serikali yake ikijenga daraja ama ikimletea maji anaamini ni huruma ya watawala yaani "hisani" na anaipongeza na hata kulazimishwa kuipongeza na ajabu zaidi anamchukia mtu asiyeipongeza, kanakwamba pongezi hizo ni uthibitisho wa utaifa ama uzalendo. Hajui kuwa serikali kuleta maendeleo ni wajibu wa kikatiba na kisheria na haihitaji kupongezwa.

Sasa, Wajinga muelewe kuwa ujinga ni talanta, na talanta zenu zinaendelezwa kwa mukusudi ili wengine wanufaike. Kazi za serikali yoyote ile duniani ni mbili tu: Moja ni kuwalinda watu na pili ni Kuendeleza watu. Ajira na kazi ni sehemu ya serikali ya kuwaendeleza watu.

Serikali Ina kazi ya kuwafanya watu wake wawe matajiri, waheshimike kiutajiri na kimaarifa. Na ni wajibu wa serikali kuvilinda vyote. Sasa mjinga anaamini ataheshimiwa kwa umasikini na unyonge wake.

Kipimo rahisi cha kujua ujinga wa Watanzania hasa hawa wanaoitwa wa kizazi kipya angalia maoni yao juu mada hii hapa hapa. Taifa la wajinga hushangilia uovu na kuuchukia ukweli...

Kupanua ufahamu wako zaidi, Soma kitabu pendwa cha Taifa cha Ujasusi wa Kidola na Kiuchumi.

Nunua kitabu cha Ujasusi kwa @ 80,000/= popote ulipo.

Lipia 80,000 kwa 0715865544 au 0755865544 (Yericko Nyerere) kisha tuma majina yako na mahali ulipo. Nje ya Dar utachangia nauli 8,000/=

Na Yericko Nyerere
View attachment 1324714
Uongo mtupu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha vipi hawa CHADEMA wanakutoa jasho?!

Komaa na ccm huko ndio ulaji ulipo, maana mpaka haya mawazo yaanze kufanya kazi hatutakuwepo tena.

Sasa usiposifia leo ukala ukashiba, hizi falsafa za mitandaoni haziliki utaishije?!
Hata wao pia si wanatafuta kula?! Tofauti yao na wewe iko wapi?!

Wanataka uwaamini uwape nafasi wale, je unauhakika watakukaribisha au watakufukuza kwa kusema kwasababu huko nyuma ulikula na ccm sasa hustahili kula, hivyo ni zamu yao, hivyo kukuacha na njaa na mwisho wake ufe au uanze juhudi za kuwatoa warudishe ccm ulikuwa unakula nao na kushiba?!

Kumbuka zimwi likujualo, halikuli likakwisha. Hivyo komaa ulipo, hata kama unahisi wana point. Hutokula point zao bali chakula, hivyo komaa tu, usihofu kuitwa mjinga, kwani ujinga kitu gani ikiwa unakula na kushiba?!
Usihamaki, ukakosa uelekeo kwa hadithi nzuri, angalia tumbo lako. Hata wao wana matumbo na labda makubwa zaidi, komaa tu usiogope.

Hahaha duh, lakini inafikirisha pia, anyway uchaguzi ni wako, nilikuwa nakukumbusha tu kaka.
 
Kwani wewe ukiambiwa uchague Shetani na CCM utachagua nini? Kumbuka Shetani anapingwa hadharani tena bila kificho. Lakini ukionekana unaisema CCM na serikali yake hadharani unatekwa na kupotezwa. Sasa hapo ingawa wote Shetani na CCM ni wabaya lakini mmoja ni zaidi ya mwenzake
Ccm ni hatari zaidi kuliko shetani
 
Bila shaka kweli wajinga ni wengi nchi hii.
Maana ni juzi tu muandishi wa kitabu anaefanya promotion, chama chake kilimpokea mgombea mmoja in the name of kubadili gia angani.

Tukajuzwa ni bora kumchagua shetani kuliko CCM.
Ni chama hicho hicho wafuasi wake wakawa wanapiga deki barabarani mgombea wao akipita kama namna ya kumhusudu.

Ni wanachama na wapenzi hao hao ambao miaka kadhaa kabla walikuwa wakali sana kwenye ufisadi na ubadhilifu na mtuhumiwa mkubwa mara wakamkumbatia kwa lugha rahisi sana kama ni mbadhirifu mbona hamkumpeleka mahakamani??

Anyway, wajinga wako wengi inategemea mjinga hajui nini ana kile anachokaririshwa na wakubwa wake anakiamini na kukipigania kiasi gani.

Hata kuamini kwenye falsafa hata kama haiko sawa napo kunaonesha ni kiasi gani ambapo watu wengi hawafikiri vya kutosha
Haya ni mawazo ya wajinga,mjinga anadhani ufusadi unapingwa kwa maneno kwenye mikutano ya kisiasa and so on.ndo maana ccm wanawasanganya kila siku ,wanawadanganya mahakama ya mafisadi then hawapeleki mtu then wanaishia kupiga kelele na porojo za kupinga ufisadi na wajinga mnashangilia
 
Kwani wewe ukiambiwa uchague Shetani na CCM utachagua nini? Kumbuka Shetani anapingwa hadharani tena bila kificho. Lakini ukionekana unaisema CCM na serikali yake hadharani unatekwa na kupotezwa. Sasa hapo ingawa wote Shetani na CCM ni wabaya lakini mmoja ni zaidi ya mwenzake
Hata huyo shetani pia kama unaamini anaweza akakuadhibu na kukutesa kuliko hata ccm. Mbaya zaidi shetani humuoni lakini ccm tunawaona
 
Mwaka 1961-1964 tangu taifa la Tanganyika litoke kupata uhuru lilikuwa na watu milioni 10+, na 88% walikuwa ni wajinga sana, 10% walikuwa ni wajinga wastani wakati 1% walikuwa ni werevu, na 1% walikuwa ni werevu sana!

Kutoka 1965-1985 sasa tukiitwa Tanzania, taifa lilikuwa linakadiriwa kuwa na watu milioni 30+, na watu 78% walikuwa ni wajinga sana, 12% walikuwa ni wajinga wastani, wakati 7% walikuwa ni werevu, na 3% walikuwa ni werevu sana!

Mwaka 1985-2000 taifa likikadiriwa kuwa na watu milioni 40+, watu 68% walikuwa ni wajinga sana, 22% walikuwa ni wajinga wastani, wakati 8% walikuwa ni werevu, na 2% walikuwa ni werevu sana!

Mwaka 2000-2013 taifa likikadiriwa kuwa na watu milioni 44+ watu 76% walikuwa ni wajinga sana, 20% walikuwa ni wajinga wastani, wakati 3% walikuwa ni werevu, na 1% walikuwa ni werevu sana!

Uthibitisho wa awali juu wa makala haya ni wewe ukianza kuhoji nani alifanya utafiti huu, kisimsingi jibu langu nitakuweka katika kundi la wajinga, Msingi mkuu tambua, Sababu za kushuka kwa ongezeko la werevu na kupanda kwa ongezeko la wajinga miaka ya hivi karibuni kunatajwa kuwa kumechochewa na mfumo mbovu wa elimu nchini.

Sasa kwa wafanya siasa hii ni rahisi sana kwao kwakuwa haiwalazimu kutumia sheria ama maadili ya "MIMMK" ambazo humuongoza mwanasiasa kuendesha siasa zake na kuyafikia malengo, wale mliobahatika kusoma elimu ya juu ya mikakati ya kisiasa mtakuwa mmenielewa.

Aghalabu Wajinga huishi kwa mifano. Yaani huwa hajui kubadilika kwake hadi tukio limtokee. Kwa mfano, wakati Mkapa anapitisha utandawazi na ubinafsishaji, marehemu Profesa Chachage L. Chachage aliandika paper na kuziwakilisha sehemu mbalimbali ikiwemo katika mkutano wa AU, Ethiopia mwaka 2000. Akawaambia watanzania jamani huo utandawazi haupo hivyo kama unavyohubiriwa na wanasiasa wa CCM na WASOMI wasaliti waliolipwa fedha ili waupambe mfumo huo mchafu.

Watanzania hawahawa walimjia juu Chachage na kumwita kuwa ana njaa. Na isitoshe mstaafu Mkapa akamkejeli kuwa wasomi wanapenda sana kulalamika lakini hawaji na suluhisho. Miaka michache baadaye watanzania wameona matokeo ya utandawazi kwa mifano. Sasa lililobaya ni kuwa serikali ya CCM au watanzania wenyewe hawajawahi kujiuliza tangu mfumo wa utandawazi uingie nchini umeleta faida gani.

Aidha Wajinga huwa ni watu wa kukaririshwa. Kwa mfano watanzania wakaririshwa kuwa matatizo yaliyosababishwa na serikali wayaite "changamoto", na ugumu uliotokana na serikali kutengeneza mazingira wezeshi wamekaririshwa wayaite "fursa". Nako utakuta mtanzania anatamka kama mwehu,
"Watanzania fursa zipo nyingi na nyingine zinaonekana kwa jicho la tatu" sasa ukimuuliza hizo fursa zikowapi, hakuambia bali atakubabaisha na kusema wewe zitafute tu utazipata.

Na lingine Wajinga huishi kwa mazoea, yaani kwa mfano, unga umepanda bei hapigi hata kelele atalalamikia ndani ya nafsi yake, mwishowe anazoea ile hali. Yaan kwa kifupi mjinga hajui haki yake, hajui wajibu wake ni upi, na hajui wajibu wa serikali kwake.

Serikali yake ikijenga daraja ama ikimletea maji anaamini ni huruma ya watawala yaani "hisani" na anaipongeza na hata kulazimishwa kuipongeza na ajabu zaidi anamchukia mtu asiyeipongeza, kanakwamba pongezi hizo ni uthibitisho wa utaifa ama uzalendo. Hajui kuwa serikali kuleta maendeleo ni wajibu wa kikatiba na kisheria na haihitaji kupongezwa.

Sasa, Wajinga muelewe kuwa ujinga ni talanta, na talanta zenu zinaendelezwa kwa mukusudi ili wengine wanufaike. Kazi za serikali yoyote ile duniani ni mbili tu: Moja ni kuwalinda watu na pili ni Kuendeleza watu. Ajira na kazi ni sehemu ya serikali ya kuwaendeleza watu.

Serikali Ina kazi ya kuwafanya watu wake wawe matajiri, waheshimike kiutajiri na kimaarifa. Na ni wajibu wa serikali kuvilinda vyote. Sasa mjinga anaamini ataheshimiwa kwa umasikini na unyonge wake.

Kipimo rahisi cha kujua ujinga wa Watanzania hasa hawa wanaoitwa wa kizazi kipya angalia maoni yao juu mada hii hapa hapa. Taifa la wajinga hushangilia uovu na kuuchukia ukweli...

Kupanua ufahamu wako zaidi, Soma kitabu pendwa cha Taifa cha Ujasusi wa Kidola na Kiuchumi.

Nunua kitabu cha Ujasusi kwa @ 80,000/= popote ulipo.

Lipia 80,000 kwa 0715865544 au 0755865544 (Yericko Nyerere) kisha tuma majina yako na mahali ulipo. Nje ya Dar utachangia nauli 8,000/=

Na Yericko Nyerere
View attachment 1324714
Na ujinga sio TUSI.
Ni kipaji kama UREFU na UFUPI.....!

NA NDIO MAANA CHADEMA NI WAJINGA.
WALIMPIGA CHINI MJINGA MWENZAO yeriko BAVICHA......!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani wewe ukiambiwa uchague Shetani na CCM utachagua nini? Kumbuka Shetani anapingwa hadharani tena bila kificho. Lakini ukionekana unaisema CCM na serikali yake hadharani unatekwa na kupotezwa. Sasa hapo ingawa wote Shetani na CCM ni wabaya lakini mmoja ni zaidi ya mwenzake
Hata wewe unaweza 'kujiteka' ukajificha kwa kimada au kwa mganga wa kienyeji hatimaye ukasababisha taharuki kwenye jamii unayoishi!
 
Mwaka 1961-1964 tangu taifa la Tanganyika litoke kupata uhuru lilikuwa na watu milioni 10+, na 88% walikuwa ni wajinga sana, 10% walikuwa ni wajinga wastani wakati 1% walikuwa ni werevu, na 1% walikuwa ni werevu sana!

Kutoka 1965-1985 sasa tukiitwa Tanzania, taifa lilikuwa linakadiriwa kuwa na watu milioni 30+, na watu 78% walikuwa ni wajinga sana, 12% walikuwa ni wajinga wastani, wakati 7% walikuwa ni werevu, na 3% walikuwa ni werevu sana!

Mwaka 1985-2000 taifa likikadiriwa kuwa na watu milioni 40+, watu 68% walikuwa ni wajinga sana, 22% walikuwa ni wajinga wastani, wakati 8% walikuwa ni werevu, na 2% walikuwa ni werevu sana!

Mwaka 2000-2013 taifa likikadiriwa kuwa na watu milioni 44+ watu 76% walikuwa ni wajinga sana, 20% walikuwa ni wajinga wastani, wakati 3% walikuwa ni werevu, na 1% walikuwa ni werevu sana!

Uthibitisho wa awali juu wa makala haya ni wewe ukianza kuhoji nani alifanya utafiti huu, kisimsingi jibu langu nitakuweka katika kundi la wajinga, Msingi mkuu tambua, Sababu za kushuka kwa ongezeko la werevu na kupanda kwa ongezeko la wajinga miaka ya hivi karibuni kunatajwa kuwa kumechochewa na mfumo mbovu wa elimu nchini.

Sasa kwa wafanya siasa hii ni rahisi sana kwao kwakuwa haiwalazimu kutumia sheria ama maadili ya "MIMMK" ambazo humuongoza mwanasiasa kuendesha siasa zake na kuyafikia malengo, wale mliobahatika kusoma elimu ya juu ya mikakati ya kisiasa mtakuwa mmenielewa.

Aghalabu Wajinga huishi kwa mifano. Yaani huwa hajui kubadilika kwake hadi tukio limtokee. Kwa mfano, wakati Mkapa anapitisha utandawazi na ubinafsishaji, marehemu Profesa Chachage L. Chachage aliandika paper na kuziwakilisha sehemu mbalimbali ikiwemo katika mkutano wa AU, Ethiopia mwaka 2000. Akawaambia watanzania jamani huo utandawazi haupo hivyo kama unavyohubiriwa na wanasiasa wa CCM na WASOMI wasaliti waliolipwa fedha ili waupambe mfumo huo mchafu.

Watanzania hawahawa walimjia juu Chachage na kumwita kuwa ana njaa. Na isitoshe mstaafu Mkapa akamkejeli kuwa wasomi wanapenda sana kulalamika lakini hawaji na suluhisho. Miaka michache baadaye watanzania wameona matokeo ya utandawazi kwa mifano. Sasa lililobaya ni kuwa serikali ya CCM au watanzania wenyewe hawajawahi kujiuliza tangu mfumo wa utandawazi uingie nchini umeleta faida gani.

Aidha Wajinga huwa ni watu wa kukaririshwa. Kwa mfano watanzania wakaririshwa kuwa matatizo yaliyosababishwa na serikali wayaite "changamoto", na ugumu uliotokana na serikali kutengeneza mazingira wezeshi wamekaririshwa wayaite "fursa". Nako utakuta mtanzania anatamka kama mwehu,
"Watanzania fursa zipo nyingi na nyingine zinaonekana kwa jicho la tatu" sasa ukimuuliza hizo fursa zikowapi, hakuambia bali atakubabaisha na kusema wewe zitafute tu utazipata.

Na lingine Wajinga huishi kwa mazoea, yaani kwa mfano, unga umepanda bei hapigi hata kelele atalalamikia ndani ya nafsi yake, mwishowe anazoea ile hali. Yaan kwa kifupi mjinga hajui haki yake, hajui wajibu wake ni upi, na hajui wajibu wa serikali kwake.

Serikali yake ikijenga daraja ama ikimletea maji anaamini ni huruma ya watawala yaani "hisani" na anaipongeza na hata kulazimishwa kuipongeza na ajabu zaidi anamchukia mtu asiyeipongeza, kanakwamba pongezi hizo ni uthibitisho wa utaifa ama uzalendo. Hajui kuwa serikali kuleta maendeleo ni wajibu wa kikatiba na kisheria na haihitaji kupongezwa.

Sasa, Wajinga muelewe kuwa ujinga ni talanta, na talanta zenu zinaendelezwa kwa mukusudi ili wengine wanufaike. Kazi za serikali yoyote ile duniani ni mbili tu: Moja ni kuwalinda watu na pili ni Kuendeleza watu. Ajira na kazi ni sehemu ya serikali ya kuwaendeleza watu.

Serikali Ina kazi ya kuwafanya watu wake wawe matajiri, waheshimike kiutajiri na kimaarifa. Na ni wajibu wa serikali kuvilinda vyote. Sasa mjinga anaamini ataheshimiwa kwa umasikini na unyonge wake.

Kipimo rahisi cha kujua ujinga wa Watanzania hasa hawa wanaoitwa wa kizazi kipya angalia maoni yao juu mada hii hapa hapa. Taifa la wajinga hushangilia uovu na kuuchukia ukweli...

Kupanua ufahamu wako zaidi, Soma kitabu pendwa cha Taifa cha Ujasusi wa Kidola na Kiuchumi.

Nunua kitabu cha Ujasusi kwa @ 80,000/= popote ulipo.

Lipia 80,000 kwa 0715865544 au 0755865544 (Yericko Nyerere) kisha tuma majina yako na mahali ulipo. Nje ya Dar utachangia nauli 8,000/=

Na Yericko Nyerere
View attachment 1324714
Kwa hiyo wewe ndiye mwenye akili kuliko watanzania wooooote?!!!!!
 
Back
Top Bottom