Prof. Mkumbo ateuwa wajumbe 7 wa bodi ya mamlaka ya uwekezaji na Maeneo maalum ya kiuchumi Tanzania (TISEZA)

Prof. Mkumbo ateuwa wajumbe 7 wa bodi ya mamlaka ya uwekezaji na Maeneo maalum ya kiuchumi Tanzania (TISEZA)

Mafyangula

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2025
Posts
505
Reaction score
887
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji Mhe. Prof. Kitila A. Mkumbo(Mb.), kwa mamlaka aliyonayo kwa mujibu wa Kifungu cha 8(2)(b) cha Sheria ya Uwekezaji na Maeneo Maalum ya Kiuchumi ya mwaka 2025 ameteua wajumbe saba (7) wa Bodi ya Mamlaka ya Uwekezaji na Maeneo Maalum ya Kiuchumi
Tanzania (TISEZA).

Mwenyekiti wa Bodi aliteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan tarehe 16 Julai, 2025.

Wajumbe wa Bodi hiyo walioteuliwa na Mhe. Prof. Mkumbo ni kama ifuatavyo:
1. Natthaniel Mathew Nhonge;
2. Wahabi Mohamed Matengo;
3. Leonard John Mkude;
4. Aristides Robert Mbwasi;
5. Fellister Steven Lelo;
6. Sarah Salehe Masasi; na
7. Absalom Norman Kibanda.
Uteuzi wa Wajumbe hao unaanza tarehe 24 Novemba, 2025

Screenshot 2025-11-21 180537.png
 
Back
Top Bottom