Vip hizi ajira za walimu zilizo toka jana jina lako lipo?Ipo hivi ; hizo semina nahisi ni za sayansi zinazoendeshwa Tanzania nzima. Sasa mbaya kuliko zote mtu anatoka tanga anaenda semina mwanza Kwa nauli yake, hana pesa ya gest, hana ya kula afu wanaambiwa mtapata pesa mwisho ya semina yaani siku ya ijumaa maana semina ni yawiki moja
Kama alivyosema mtoa mada hizi pesa nizaBenki ya Dunia lakini malipo yake ni kiduchu Sanaa wanatumia waraka wa zamani perdiem yaani diploma 80000 degree 120000 Kwa siku ilihali waraka Mpya unasema diploma atapewa laki na ishirini degree laki na nusu.
Ujinga ulivyo unamtoa mwalimu mbali halafu chakula anapewa mchana tu usiku juu yake, gest juu yake namaisha ya walimu mnayajua magumu halafu mnasema tutawapa mwisho wa semina
N. B. Hao ambao hawajapewa pesa zao watapata ila chamoto watakiona utapeli Kwa walimu unakua Kwa kasi Sanaa jamani walimu vichwa empty mm nawaambia hata wewe ebu siku nenda shule yoyote iliyopo karibu waambie walimu wote wapige magoti watatekeleza chamsingi tu nenda na gari ukiwa full suti
Mkuu kuwa na adabu basi mm sio mwalimu, siwez kuwa kwenye maajira ya mafungu hayo mnapangana kama kuku kwenye banda, mm nina kazi zangu binafsi nimeajiri vijana wenzangu zaidi ya kumi nawalipa mshahara Kwa wakati, posho na chakula cha mchanaVip hizi ajira za walimu zilizo toka jana jina lako lipo?
Naomba ajira bas kaka.Mkuu kuwa na adabu basi mm sio mwalimu, siwez kuwa kwenye maajira ya mafungu hayo mnapangana kama kuku kwenye banda, mm nina kazi zangu binafsi nimeajiri vijana wenzangu zaidi ya kumi nawalipa mshahara Kwa wakati, posho na chakula cha mchana
Nikiwa nahitaji nitazitoa mtandaoni nitatangaza Kwa uwazi kabisaNaomba ajira bas kaka.
Au sioNikiwa nahitaji nitazitoa mtandaoni nitatangaza Kwa uwazi kabisa
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Hiyo aya ya mwisho ni noumah.Ipo hivi ; hizo semina nahisi ni za sayansi zinazoendeshwa Tanzania nzima. Sasa mbaya kuliko zote mtu anatoka tanga anaenda semina mwanza Kwa nauli yake, hana pesa ya gest, hana ya kula afu wanaambiwa mtapata pesa mwisho ya semina yaani siku ya ijumaa maana semina ni yawiki moja