Prof. Mbele na hoja zake: Amfagilia JK

domo la glasi(democracy) ya vyama vingi na uhuru wa vyombo vya habari kwa mipaka 10 ya utawala wake vilisaidiaje kuwatetea tembo waliopotea Tanzania na pembe hizo kuuzwa China?
Wachina walipoulizwa kwa nini mwatafuta ufahari wa kumaliza tembo kwa ufahari wa kupamba mahekalu na cutleries Watanzania tulijigamba tutapeleka majibu China wajitetee kwamba Tembo wakifikisha umri fulani men yanadondoka yenyewe! halafu baada ya miaka kadhaa mingine yanaota kwa upya!
Hao Marais wastaafu hawakuona mikataba mibovu ya bandari kama tics? Je hawakuona au kusikia habari ya makontena ya makinikia? hawakuona ujio wa bandari usio na tija na maslahi kwa waTanzania?Je zawadi za vitalu vya gas kwa China? mbona walinyamaa kimya? hawakujua au kusikia habari ya watumishi hewa na vihiyo? At least kuna jambo limefanyika na kuonekana.
 
Back
Top Bottom