Prof. Mark Mwandosya ni mpotoshaji

Wananchi wanaomuunga mkono Raisi na CCM ni wengi kuliko wa upinzani sasa wewe unapata wapi hayo maneno yako ya uongo?
ya kwangu ni ya ukweli. yape jina ya kwako!
 
Umeandika takataka tu hata sijamaliza kusoma. Jua kwamba rais ni mwanasiasa na hawezi kukwepa kukosolewa au hata kuchapwa vijembe vya kisiasa.

Kama anakuwa "Sensitive" dhidi ya hivi vijembe basi hapashwi kukaa ofisini kama rais yafaa ajiuzulu akafanye shughuli ambazo hazitamleta uso kwa uso na wakosoaji.

Hivyo basi, kwa kuwa 'kosa' lililopelelekea Sugu kufungwa linahusiana na "Perception" yake kwa rais, na bila shaka kwa shinikizo la huyo huyo rais, basi automatically, Sugu ana-qualify kuwa mfungwa wa kisiasa na ameachiwa baada ya kumaliza kifungo na wala sio kwa "Msamaha wa rais".
 
Ni tusi gani alimtukana rais, unajua kama sugu amekata rufaa? Nakushauri subiri rufaa ndipo uje na ngonjera zako!
Mahakama ilimtia Sugu hatiani na kumhukumu kifungo cha miezi 5. Huna haja ya kuuliza ni kosa gani. Ukitaka undani kasome hukumu ya mahakama. Nyaraka hizi za korti zipo wazi.

Sasa kimbembe kitakuja pale atakaposisitiza rufaa yake isikilizwe na korti ya rufaa ibadilishe hukumu toka MIEZI 5 hadi MIAKA 5 jela. Itabidi arudi jela. Raisi alimsamehe ile ahabu ya kwanza. Adhabu mpya itabidi aitumikie mpaka Rais atakapotoa msamaha mpya.

Kama ni mimi Rais sitoi tena msamaha kwa ngebe hizi.

Mwandosya anazeeka vibaya. Sikumtegemea kujiingiza kwenye kasheshe hii.

Najua ameumia sana alivyorukwa kwenye nafasi nyingi. Pengine alitegemea Magufuli ampe nafasi nono kama ya uwaziri mkuu.

Anasahau kitu kimoja. Kuwa mwerevu darasani hadi kuwa Prof. sio kigezo muhimu katika kuwashawishi, kuwaongoza na kuwaunganisha watu kisiasa.

Bado ana nafasi nzuri sana za kuwahamasisha vijana nchini katika teknolojia bila ya kuanza kuwagawa kisiasa.

SPECIAL MESSAGE TO PROF:
Prof. Mwandosya, don't touch CHADEMA. They are toxic. Your legacy will be marred indelibly by this corrupt and criminal gang masquerading as a political party. CDM is a sinking TITANIC, don't jump on board, you will go down with it.
 

Hivi Mbeya kuna watu myopic kama wewe , kweli mnataka kumtisha Mwandosya na hako ka kamba ka Mkuu wa chuo cha Mwalimu Nyerere
Huenda labda hujui historia ya Mwandosya kuwa aliwahi kuweka msimamo na kukataaa kazi ya Katibu Mkuu wa wizara ya Nishati na madini na kurudi UD kufundisha kutetea msimamo wake
Wazeee kama Mwandosya hawatafuti neema za vyeo bali yeye Kwa Sasa anataka kuacha Legacy duniani
Anataka pengine kuwa kama Kingunge ambaye siku yake ya mwisho alisifiwa na watu wa vyama vyote vya siasa kwa utumishi
Lakini pia Mwandosya ni nembo ya wana Mbeya na Nyanda za juu bila kujali vyama , dini au kabila , he is a political king king of that region kubali au kataaa kwa hiyo ni Sawa kwake kwenda kuonyesha mshikamano na yeyote kama pia ambavyo akialikwa na Tulia ngomani anaenda
 

Shame on your ugliness unaweza kujinasibuu na ushindi wa ccm marudio udiwani na ubunge ambao umepatikana kwa aibu ya Damu , mabavu ya dola ba rushwa
Mimi naongea na wana ccm wenye vyeo na historia kubwa tu na wanaona aibu kubwa sana hata kuongelea siasa zinazoendelea za manunuzi , kiukweli ccm ya Magufuli na Polepole imekua aibu kwa taifa na ndio maana wAzee wana waangalia tu
 
Huu mwandiko kama wa polepole if not mistaken
 

Jifunze kukaa kimya ukiwa unakula.... domo limejaa chakula Tazama Sasa unaongea unatutemea chakula......

Kweli Majoka kama Joka Kuu la Uganda...
 
Sugu ni mwanasiasa, alifungwa kwa kauli alizotoa wakati akitekeleza majukumu ya kisiasa. Hivyo ni mfungwa wa kisiasa.
Wanasiasa wote kuanzia Nyerere, Mandela, Kenyatta, nk. Walifungwa kwa matamshi au vitendo walivyofanya wakati wakitekeleza siasa.
 
Umeandika mambo mawili ya msingi

1: aina ya kosa alilofanya Joseph Mbilinyi na adhabu aliyopewa

( wenye taaluma ya sheria watatusaidia hapa)

2: Fursa ya ufufuko wa kisiasa kwa wale wanaoelekea kufa (kufifia kisiasa)

Mfano;
Mark Mwandosya anavyomtumia sugu ili kujirudisha tena katika anga za kisiasa.!

Mtazamo wangu..:

Wanasiasa wanatumia. Nafasi ya ujinga wa watu ama kundi fulani (hasa vijana) kwa maslahi.ya matumbo yao .sasa na baadae.
Huku chini ya mioyo yao wakijua kuwa wayasemayo ni UONGO..

Angalizo;
Mark Mwandosya yule wa 1995..2000 sio huyu wa sasa. Ama 2000. Mpaka 2015.!
Nguvu ile aliyokuwa nayo kisiasa mpaka baadhi ya vijana pale Mbeya mjini kujiita akina Mwandosya sio ya Leo

Ni vema akajipima na kutafakari upya uelekeo wake kisiasa.! Wana CCM wa sasa sio wapumbavu wanajua Mchele ni upi na chuya ni zipi..!

Asisahau, Mh, Agustine Lyatonga Mrema, aliwahi kufikia mpaka kuitwa naibu waziri mkuu.
Cheo ambacho kikatiba hakipo aliondoka CCM
Edward Ngoyai Lowassa Aliwahi kuwa Waziri Mkuu Akaondoka CCM..
Truway Sumaye aliwahi kuwa Waziri Mkuu akaondoka CCM..
Nyarandu aliwahi kuwa mbunge na waziri akaondoka

Kisha nimsaidie Mh, Mwandosya afanye utafiti kidogo kuhusu hadhi ya hao watu hapo juu Kwenye Jamii je imepanda au imeporomoka. Ama je wana heshima ile ile kama waliyokuwa nayo kabla..?

Wakati huo huo afananishe na hadhi ya akina Joseph Sinde Walioba. Salm Ahmed Salim,Wiliam Malecela, Mizengo kayanza peter Pinda.! Hamis Kagasheki..na wengineo

Mwisho:
Heshima huwa inalindwa ukiamua kuipoteza usilalamika kudharauliwa..!
Huenda ulipokuwa mtumishi kuna mambo maovu uliyafanya ama hukutenda kwa ufanisi lakini watu wamekustahi..
 
Ni uhuru wako wa maoni na umeutumia vizuri kama yeye...
 
Hivi wewe Pimbi....huyo sugu aliweza kudhibitisha hayo mahakamani?kama golden chance aliipata & na wahuni wenzake....je alidhibitisha tuhuma zake mahakamani ?
 
Hivi wewe Pimbi....huyo sugu aliweza kudhibitisha hayo mahakamani?kama golden chance aliipata & na wahuni wenzake....je alidhibitisha tuhuma zake mahakamani ?
Pimbi mama yako wewe...Hakimu alitumia kifungu gani kumfunga Sugu...ulisoma hukumu...wasukuma magovi nenda katahiri alafu uje kubishana na wanaume
 
Ni sehemu moja tu imenifanya ni comment sehemu uliyomhusisha Mwandosya na chuo cha kumbukumbu ya Nyerere. Kile chuo kilianzishwa kwa kufundisha makada wa ccm na kilianzishwa na mminyaji wa demokrasia ambaye aliwafunga wenzake waliopingana na mawazo yake. Kama Mwandosya anataka tumuamini na kama hana agenda nyingine ya siri basi aachane na hicho chama maana kilianzishwa kama chama kikandamizi cha demokrasia nchini. Pili huyo mwanzilishi aliwafunga wafungwa wa kwrli wa kisiasa kwa yeye kujihusisha na hicho chuo basi hana tofauti na hao wakandamizaji kama kwrli wapo... me say
 
Sugu ni mfungwa wa kisiasa form 4 leaver katu hawazi kushindana na Professor.
 
Katika hali ya kisiasa kwa sasa Jimbo la mbeya mjini bado mbunge ataendelea kuwa Joseph Mbilinyi hata kwa vipindi vitatu mfululizo..2015/ 2020/2025..

Sabbu kubwa ni kuwa hakuna Mwana CCM kati ya vijana waliopo anayeweza kuwa mbunge, kuanzia akina Mwakipesile na kuendelea..
Hii ni kwakuwa Ccm Mbeya ilipoteza uelekeo enzi za akina Bensoni Mpesya.!
Yalipokuja mageuzi ya kisiasa NCCR Mageuzi.. na nduguze nao wakaimega Zaidi Mbeya..!
katika uhalisia Mbeya wakajikuta wanabakia na Akina baby TOT tu, (TOT Mbeya)
Na kila aliyekuwa anaishabikia CCM Mbeya alikuwa anaonekana kituko..na mtu wa kuchekwa na kudhihakiwa.. CCM ilibakia kuwa chama cha wananchi kutoka Kabila la (WASAFWA) kule milimani..
Na wajanja wachache waliokuwa wanaitumia CCM kama chaka lao la kupigia Deal zao.!

Hakukuwa na uwekezaji wa matumaini ya kisiasa kwa Vijana wa Mbeya.
Itachukuwa muda sana kubadili mtazamo wa vijana wa Mbeya Mjini kuhusu CCM na watu wake.

Sabbu wengi wao ni walewale.. wa miaka ile wanajuana na wanaelewana vema toka Iziwa kule milimani, mpaka iwambi ukimalizia Mlima nyoka na uyole ya juu.

Miaka 20 ijayo kama CCM isipobadiri uelekeo huu ndio utakuwa wakati wao wa kulirudisha jimbo la Mbeya Mjini. Kwa kipindi hiki bado Joseph Mbilinyi ataendela kuwa Mbunge huo ndio ukweli ama uwe mchungu au mtamu.

Makosa yaliyofanywa na viongozi wa CCM waliotangulia hii ndio gharama yake..!
 
Pimbi mama yako wewe...Hakimu alitumia kifungu gani kumfunga Sugu...ulisoma hukumu...wasukuma magovi nenda katahiri alafu uje kubishana na wanaume
Mbona mkeo analipenda govi langu?[emoji23] [emoji23]
 
Mwandosya is independent person and urging with Prof you also need to be independent person rather than being in favor of somebody's interest a.k.a stone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…