sas yeye ni profesa wa nini?
tiba ipi?
This is a good lesson....mambo hayakamiliki mpaka India! Tena kwa mtu ambaye wala hahitaji Xray kutibia wagonjwa wake.
Mh.Maji marefu anasumbuliwa na ugonjwa wa tumbo ambapo kwa sasa amepelekwa India,alianza kuugua tangu kikao cha Bunge kilichopita ambapo alilazwa hospital ya Mkoa wa dodoma'GENERAL' kisha akapelekwa muhimbili,lakini katibu wa bunge Dr Kashilila alithibitisha hilo na akasema kuwa kwa sasa amepelekwa hospitali ya 'VIGOGO' ya APOLLO.
.hapa ndo naamini kuwa mganga hajigangi.
Tatizo hapa ni kwa nini India?, kwa nini hatuboleshi hospitali zetu? Je kuna watu wanaonufaika na mradi huu??.
Lazima kuna ziada, najiuliza ukiacha ugonjwa hivi Ccm waliwaza nini au walikuwa na sbb gani kumpeleka majimarefu na lusinde Arumeru? sipatagi picha, there must b something behind or something very wrong. Anyway pona haraka mpiga muhuri wa sherid zetu.