Prof Maji marefu anaumwa, yupo India kwa matibabu

...huyu si anawapanga watu foleni kutatua matatizo yao yote, tumbo tu ameenda India? Watu waelewe kuwa hawa waganga ni wasanii tu, anatoa dawa ya utajiri wakati yy mwnyw analala kwny kibanda cha nyasi. On a different note: nadhani huyu Bwana aligombea Ubunge kupromote biashara yake ya kuwapa tiba watu wanaotafuta uongozi, kawaonyesha namna ili apate wafuasi wengi.

Sasa kama hamuamini dawa za Profesa Maji Marefu muulizeni Kigoda ,si mnaona sasa amerudishiwa uwaziri; na baada ya hapo URAIS!!!
 
Mh. Maji marefu anasumbuliwa na ugonjwa wa tumbo ambapo kwa sasa amepelekwa India, alianza kuugua tangu kikao cha Bunge kilichopita ambapo alilazwa hospital ya Mkoa wa dodoma'GENERAL' kisha akapelekwa muhimbili, lakini katibu wa bunge Dr Kashilila alithibitisha hilo na akasema kuwa kwa sasa amepelekwa hospitali ya 'VIGOGO' ya APOLLO.

Hapa ndo naamini kuwa mganga hajigangi.

lazima wakatibiwe india bana si unajua vifaa huku Tz hawataki kununua, itafika pahala hata malaria tu ataruka india
 
Huyo kachanganya dawa za kienyeji na za hospitali, by the way pole mheshimiwa but unatia taifa hasara kwenda kutibiwa india
 
mchawi aachwe afe tu,nina uhakika keshadhuru kwa shughuli zake za kichawi,angekuwa shinyanga wanyantuzu washapiga mapanga shaa zamani
 
Posti imejaa kejeli.....posti inasahau kuwa SELASINI naye amepata ajali!!! Je watu wabandike kejeli kule!?!!!
GREAT THINKERS....!
 
hivi wana Jamvi, tumwekeza kiasi gani huko India? hivi hiyo Apollo ni Muhimbili B? au Bugando B? ama ni Lugalo hospt C, nani ni kuwadi wa haya matibabu ya India? isije kuwa sasa vingozi wetu wanatafuta posho ya matibabu! Tanzania Nakupenda kwa moyo wote
 
walimwengu wanatakiwa kujua kuwa mungu yupo na anafanyaka kazi yake na hakuna hatakaye pinga,
haya sasa Mh prof maji marefu leo yamekuwa maji mafupi mbele ya mungu
 


Hapa ndo naamini kuwa mganga hajigangi.
[/QUOTE] Na huyu siyo mganga (hata wa kienyeji) kwa maana ya Daktari/physician bali mpiga ramli: wapiga ramli siyo waganga ni sawa na wachawi tu
 
Back
Top Bottom