anastahili wadau.................. huyu prof namkubali sana, ni kichwa cha kufa mtu, ..........................akikuandikia document, haisahihishwi na mtu mwingine, yeye ndo huwa anakuwa wa mwisho!!!!!!!!!!.................... halafu on a serious note, kukesha ofisini usiku kucha akipiga mzigo kwake ni jambo la kawaida kabisa....................
kila la heri professor........... msomi wa ukweli kutoka TZ, the land of makamandazzz!!..............