Allen Tarimo
Member
- Oct 27, 2011
- 24
- 5
Wadau najitokeza leo kwa mara ya kwanza hapa JF kujaribu kuwashirikisha wakuu mnisaidie ufafanuzi kuhusu jambo hili ambalo nimelitafakari kwa siku kadhaa bila kupata jibu.
Nakukumbuka juzi Mh spika wa wa bunge Anne makinda aliahirisha mjadala wa bajeti ya wizara ya maji akiitaka serikali ikajipange upya ile na bajeti yenye kujibu matatizo ya maji Tz.
Kilichonishangaza wakati mjadala unaendelea bajeti haijapitishwa tayari Mh Prof Maghembe na wizara yake alishatangaza tenda kwenye gazeti wakati bajeti haijapitishwa.
Nani alimpitisha hizo bil 50? Hapa napata kigugumizi.
My take!
Huu mchezo haujaanza leo inaonyesha ni kawaida yao! Karibuni mnipe wawazo chanya.