Prof. Maghembe akalia kuti kavu Mwanga

Prof. Maghembe akalia kuti kavu Mwanga

Joined
Jun 13, 2013
Posts
9
Reaction score
2
Kuelekea uchaguzi wa 2015 wakazi wa Mwanga wachoshwa na vijembe na udini wa Mnec ndg Tadayo na Mbunge ndg Maghembe. Wananchi Wajiandaa kumuomba DC mmoja wapo anayetoka Mwanga kuja kuchukua jimbo 2015.
 
Attachments

  • 1416754557856.jpg
    1416754557856.jpg
    9.3 KB · Views: 1,042
Acha uongo hadija ingawa ni kweli maghembe hatakiwi lkn si kwa staili unayotaka kutuaminisha hapa GT
Kuelekea uchaguzi wa 2015 wakazi wa mwanga wachoshwa na vijembe na udini wa Mnec ndg Tadayo na Mbunge ndg Maghembe. Wananchi Wajiandaa kumuomba Dc mmoja wapo anayetoka Mwanga kuja kuchukua jimbo 2015
 
Dc Liana hawezi kugombea ubunge mwanga hata siku moja baba yake mzee jj liana ii alishawaonya wanae waachane na siasa za mwanga kulingana na eneo walipo siasa za mwanga ni vita kati ya usangi na ugweno hawezi kutokea mtu mwingine akashinda hata siku moja vinginevyo usapotiwe na watu wa usangi kama tadayo anavyoenda kumngoa maghembe asubyhi na mapema! Sehemu zingine za mwanga zinaamua kutokana na usangi wameamua ni

Mwongo huyo mama hajui chochote kuhusu siasa za mwanga Dc mmojawapo ni sipora liana na rc wa kagera bwana asseri

mkuu #MTENGETI usipinge sana hi ripot maana huyu mama spora liana namjua tangia akiwa arusha mjini alivyomuhenyesha rc wa kipind hicho ni mwanamke jasir sana mfano wa mdee na kilango hawa wadada wa kipare mim nawaaminia bhanaa
 
Dc Liana hawezi kugombea ubunge mwanga hata siku moja baba yake mzee jj liana ii alishawaonya wanae waachane na siasa za mwanga kulingana na eneo walipo siasa za mwanga ni vita kati ya usangi na ugweno hawezi kutokea mtu mwingine akashinda hata siku moja vinginevyo usapotiwe na watu wa usangi kama tadayo anavyoenda kumngoa maghembe asubyhi na mapema! Sehemu zingine za mwanga zinaamua kutokana na usangi wameamua ni
Umesahau Majid Mwanga! DC wa Lushoto
 
ila mimi naamini jimbo ni la cdm wacha maghembe na tadayo waparangane yeyote atakayekuja sis tunampa za uso kuna pia mama frenera mkandara ila sis tuko kwenye mkakat mkal hapa arusha na makamanda wakuu wa chama kuhakikisha tunasomba majimbo yote ya kilimanjaro ikiwemo mwanga
 
Hija huyu mtu ni mwongo sikatai kuwa maghembe kakalia kuti kavu! Hata wewe unaishi usangi unajua kila kitu kuhusu mwanga wengi wanadecide from what the usangi say ! Hija kaka yangu mimi nimeshiriki siasa za mwanga mda sasa kilichokuwa kinafanywa na maghembe ni kugawa kwanza kura za ugweno jambo ambalo sasa haliwezekani kwani wazee wenye ushawishi wamemtema akiwemo mzee swedi kiluvia ambaye alikuwa kwenye ssekta ya udini sasa hivi wanamwanga wana option mbili kama ccm haitampitisha tadayo wakamrudisha maghembe jimbo bila chembe ya shaka linaenda tambarare kwa kijana henry kileo! Maghembe amebakiwa na karata moja kumtumia fenera mkangara kugawa ili kupata wanawake wengi na kura za ugweno kwa sababu fenera ni mgweno na taget ni katiba mpya kama itapita kwenye kipengere cha 50 50
mkuu #MTENGETI usipinge sana hi ripot maana huyu mama spora liana namjua tangia akiwa arusha mjini alivyomuhenyesha rc wa kipind hicho ni mwanamke jasir sana mfano wa mdee na kilango hawa wadada wa kipare mim nawaaminia bhanaa
 
Kumbe Sipora Liana ni mpare? Hivi baada ya Arusha alipelekwa wapi? Najua kablabya Ar alikuwa Kisarawe
 
maprofesa wa aina ya huyu jamaa wakiwa ulaya uwezo wao hata wa secondary school student anapitwa.
 
Hija huyu mtu ni mwongo sikatai kuwa maghembe kakalia kuti kavu! Hata wewe unaishi usangi unajua kila kitu kuhusu mwanga wengi wanadecide from what the usangi say ! Hija kaka yangu mimi nimeshiriki siasa za mwanga mda sasa kilichokuwa kinafanywa na maghembe ni kugawa kwanza kura za ugweno jambo ambalo sasa haliwezekani kwani wazee wenye ushawishi wamemtema akiwemo mzee swedi kiluvia ambaye alikuwa kwenye ssekta ya udini sasa hivi wanamwanga wana option mbili kama ccm haitampitisha tadayo wakamrudisha maghembe jimbo bila chembe ya shaka linaenda tambarare kwa kijana henry kileo! Maghembe amebakiwa na karata moja kumtumia fenera mkangara kugawa ili kupata wanawake wengi na kura za ugweno kwa sababu fenera ni mgweno na taget ni katiba mpya kama itapita kwenye kipengere cha 50 50

mzee SWED KILUVIA ni baba yngu kubwa namjua hata ukwen kwangu nilimtuma yeye.ila huyu mzee ni mnafki mana aliendesha kampen za udin thid ya tadayo akitumia cheo chake cha ukatibu wa BAKWATA
 
hakuna prof ambaye niliwahi kumdharau kama huyu. hai huwa namwonea huruma anapojitahidi wakati hawezi kitu anakoroma tu kama chura. hivi huyu ni msomi kweli?mbona hajui kuunda hoja akiwa jukwaani? halafu si ndio aliambiwa waziri zigo/mzigo huyo? darasa la kumi na mbili hawajaambiwa mamizigo yeye prof anaambiwa mzigo tena kwenye wizara rahisi kuliko zote, ya maji...hahaha. dah.
 
Haha haha hija! Sasa hivi kakomaa unafiki kapunguza hukumbuki aliletewa maiti ya mwanae kutoka india na maghembe lkn bado anapambana naye?

Back
Top Bottom