TBL juzi tarehe 20 wametangaza faida imepungua kwa 29%, how about that! Au nao walikuwa wapiga dili!Hizi ndio points zinazoelezea uchumi kushuka?
Kwa hiyo serikali ikilipa wakandarasi uchumi utapanda?
Baadhi ya viwanda vimefungwa je kuna viwanda vipya vingapi vimeanzishwa?
hilo la viwanda jibu unalooHizi ndio points zinazoelezea uchumi kushuka?
Kwa hiyo serikali ikilipa wakandarasi uchumi utapanda?
Baadhi ya viwanda vimefungwa je kuna viwanda vipya vingapi vimeanzishwa?
lipumba ameanza kujitambua sasaAmesema:
1. Mzunguko wa fedha umeshuka kwa sababu serikali imeshindwa kuwalipa wakandarasi wa ndani waliotoa huduma kwa taasisi za serikali.
2. Mikopo benki imepungua kwa 3%.
3. Baadhi ya viwanda vimefungwa.
nk
Mchochezi tuta mpima mkojo Huyu hataki ruzukuAmesema:
1. Mzunguko wa fedha umeshuka kwa sababu serikali imeshindwa kuwalipa wakandarasi wa ndani waliotoa huduma kwa taasisi za serikali.
2. Mikopo benki imepungua kwa 3%.
3. Baadhi ya viwanda vimefungwa.
nk
Mwenzie kala shavu la ubalozi.. Yeye aliishia kutembelea Rwandaakafie mbali uko propesa msaliti huyu!
Bwana yule anasema hayo yamewakuta wapiga dili...
Kwahiyo mnatuzuga tu nchi ya viwanda na huku hamna kiwanda hata kimoja kipya? Kweli nyie bongo movie.Hizi ndio points zinazoelezea uchumi kushuka?
Kwa hiyo serikali ikilipa wakandarasi uchumi utapanda?
Baadhi ya viwanda vimefungwa je kuna viwanda vipya vingapi vimeanzishwa?
Kwa nini na wewe usitoe statistics za namna uchumi ulivyopanda???Hizi ndio points zinazoelezea uchumi kushuka?
Kwa hiyo serikali ikilipa wakandarasi uchumi utapanda?
Baadhi ya viwanda vimefungwa je kuna viwanda vipya vingapi vimeanzishwa?
Kivipi, ebu fafanua hayo 'baazi'Usikubali kuwa kilaza.mi mwenzio ni kilaza ktk baazi ya mambo tu! Ukweli lipumba na lowasa afadhali ya lipumba
Uchumi umeshuka bro hata pandikizi lenu limeshtuka...kila mtanzania sasa anaziona korodani za mfalme ila watu kama wewe ndio mnaobweka ni watu kama wewe good dog ila ngoja njaa inakujaHizi ndio points zinazoelezea uchumi kushuka?
Kwa hiyo serikali ikilipa wakandarasi uchumi utapanda?
Baadhi ya viwanda vimefungwa je kuna viwanda vipya vingapi vimeanzishwa?