Prof Lipumba: Serikali itekeleze ahadi yake

Prof Lipumba: Serikali itekeleze ahadi yake

Dunia yakoo

Senior Member
Joined
Nov 23, 2019
Posts
139
Reaction score
214
Baraza Kuu limekumbusha kuwa tangu mwaka 1995, Chama cha CUF kimetoa wito kwa Serikali kuwajengea Polisi makazi bora.

Hususani CUF ililaani kuwepo na nyumba za polisi za full suit kuta za bati na paa la bati. Kukiwa na joto balaa na kukiwa na baridi balaa.

Serikali imesikia utetezi wa CUF kwa jeshi la Polisi na kuanza kujenga nyumba bora kwa jeshi hilo haidhuru kasi yake inapaswa kuongezwa.

Hata hivyo Baraza Kuu linasikitishwa kuona nyumba mpya za polisi zilizomalizika kujengwa zaidi ya miaka miwili iliyopita zilizopo Kilongawima na Mikocheni Dar es Salaam hazijahamiwa mpaka hivi sasa.

Linatoa wito kwa serikali kuwaruhusu polisi kuhamia kwenye nyumba hizo mara moja.

Chanzo (dunia yako)
 
Another MATAGA Account
IMG_6215.JPG
 
Back
Top Bottom