Mzalendo2015
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 6,697
- 9,048
Lipumba naye atulie ni muda wa kustafu siasa akalee wajukuu
Asieee ni kweli hata mimi nimeandika namba yangu ya kitambulisho hii inashangaza jamaniNg'ombe achnjwe alivyolala
Magufuli anavuna alichopanda. Watu hawaoni sababu ya kupiga kura wakijua amepanga atangazwe yeye kuwa Rais. Hata kuitangaza siku ya leo kuwa public holiday haina maana.Huu uchaguzi ni upuuzi kama upuuzi mwingine, na ndio maana watanzania wengi wamepuuza zoezi zima. Idadi ya wapiga kura ni ndogo kuliko maelezo kwenye vituo. Mambo kama hayo nani yuko tayari kwenda kushiriki huo upuuzi?
Lengo ni kuwatisha Watumishi wa Umma lakini ni last kicks Habari nilizozipata kutoka Kanda ya Ziwa ni kwamba CCM imefutikaAsieee ni kweli hata mimi nineandika namba yangu ya kitambulisho hii inashangaza jamani
Inahitaji ujasiri sana kushiriki kwenye hili zoezi. Walau huko nyuma mambi yalikuwa yakifanywa kwa siri. Ila kwa sasa, yanafanywa hadharani.Huu uchaguzi ni upuuzi kama upuuzi mwingine, na ndio maana watanzania wengi wamepuuza zoezi zima. Idadi ya wapiga kura ni ndogo kuliko maelezo kwenye vituo. Mambo kama hayo nani yuko tayari kwenda kushiriki huo upuuzi?
Ana stressKuna muda ukiongea jambo fulani watu wanahisi 'there is something wrong in your mind'
Yaan tangu 1995 unapambana kwenye hamna.
Ni vizuri ukubali muda umekupita