Hayo maneno yake ukifika wakati wa uchaguzi mkuu CCM wakahitaji msaada wake atakuwa wa kwanza kuutoa bila masharti yoyote.
Kusema Chadema wana pesa ni kwasababu wanapewa ruzuku kisheria, yeye kama anaona chama chake kina sifa halafu hakipewi ruzuku aende mahakamani.
Kwani wakati ule alivyoenda kujificha Rwanda wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu alilipwa pesa ngapi na marafiki zake wa CCM?