Prof Lipumba Kujihakikishia Uwaziri Mkuu?

Lipumba ni mganga njaa!

Kamwe hawezi kwa kuwa mekwisha chakachuliwa na CCM.
 
Na mbowe je alipomkumbatia kikwete diamond jubelee baada ya uchaguzi wa 2005. Wakati cuf walikua wameshakubaliana na chadema kuyakataa matokeo.

Jee kwanini asiwe mbowe ndie ccm?
 
Kigogo
Sikatai hilo lawezekana, lakini je unavyofikiria kwa kuwa na makubaliano ya namna hiyo, yenye lengo moja muhimu kwanza kuwang'oa CCM, hivi huoni kuwa close to 100% success inakuwa guaranteed?

Siku tutakapojifunza kuzingatia lengo tutakuwa tumepiga hatua kubwa sana.......mkuu hapa unachosema wenzetu wengi inaonekana bado sana kukielewa. Dunia nzima iwe kwenye siasa, uchumi au biashara 'merger' imefanya maajabu......

Kweli hata mimi bado najiuliza sana.....hivi ikitokea merger ya CHADEMA na CUF kwa wakati huu itakuwaje?....CCM watajitoa kwenye uchaguzi nahisi!
 
Kazi hiyo CUF kamwe hawataifanya kwa sababu malengo yao ya kismingi yatofautiana na Chadema.

Mfano CUF wanataka nchi ijiunge na OIC na uanzishwaji wa mahakama za kadhi mambo ambayo Chadema haiafiki hata kidogo.

Nafikiri huo ni mtazamo wako tu.Ni kweli kuwa vyama vinatofautiana kisera na kimipango lakini vinapoamua kuungana kunakuwa na makubaliano kitu kama memorundum of understanding ambayo inasimamia makubaliano yao wakati wa kuelekea uchaguzi lakini pia mara baada ya uchaguzi.Na nina uhakika makubaliano hayo yanaweza pia kurekebishwa ku-reflect mahitaji halisi ya wakati say muungano huo unapopata nafasi ya kuunda serikali.

Suala hapa ni utashi tu wa kisiasa kwani Lipumba na CUF wakiona hiyo ndo yaweza kuwa move nzuri zaidi ya kuiondoa CCM basi haiwezi kuwa tatizo kubwa kufanya hivyo otherwise kwa kweli sioni tatizo hapa katika suala zima la sera.Kwa sababu mwisho wa siku kila chama kinajaribu kuomba nafasi ya kuunda serikali ili kuleta mabadiliko katika nchi hii!
 
cuf ni ccm b sasa unategemea nini?

kikwete+lipumba+seif+3.jpg




kikwete-lipumba.jpg


kikwete+lipumba+seif+1.jpg



8e9u1564.jpg

mungu alituepusha na huu msala kama tungeungana na kafu upinzani ungepotea kabisa
 
Back
Top Bottom