Prof. Lipumba kufutwa uanachama na kufukuzwa CUF

Prof. Lipumba kufutwa uanachama na kufukuzwa CUF

fm radio

Member
Joined
Jul 19, 2015
Posts
81
Reaction score
36
Kuna taarifa nilizozipata kuwa aliyekuwa mwenyekiti wa CUF taifa Prof. Ibrahim Lipumba kufutwa uanachama na kufukuzwa CUF.

Chanzo:E-FM RADIO
 
Asante kwa taarifa ila sikiliza vizuri halafu tupatie habari kwa kina zaidi.
 
Hyo ni nzr afukuzwe tu kwan mateka sio mzr kuwa nae atatoa siri kwa adui
 
Alichofanya ni zaidi ya usalti afutwe maana hamna namna nyingine
 
Na CUF ndio inakwenda kukata roho wakifanya hivyo, maana anawajua nje ndani

CUF ina viongozi wazuri zaid ya prof mkuu.jarib kuresearch then utagundua kuwa prof alikuwa wa kawaida sana ijapokuwa katumikia kama mwenyekiti for 16 years
 
Inashangaza watu wa Ccm eti wanasikitika kama Cuf au Ukawa ikisambaratika,hakuna aliye juu ya Taasisi.Kuna watu wana mawazo mgando au ndiyo kusema uotdated propaganda kudhani akifukuzwa ndiyo mwisho wa CUF.Watu wanaamini katika central theme ya Ukawa ni kuitoa CCM madarakani,kama vipi wanunueni wananchi wapiga kura kwa kuwaboreshea huduma za jamii na sio kumnunua mtu mmoja pekee.It was possible by then bt nowdays it is not possible kwa kuwa akili ndogo haiwezi kutawala akili kubwa.Mawazo yale yale halafu you expect different results!
 
Back
Top Bottom