Prof. Lipumba jitokeze utupe mawazo yako ya mwisho, tunahitaji ushauri wako

Babeli

JF-Expert Member
Jul 20, 2015
6,660
3,233
Jf,

Nadhani itakuwa afya zaidi kama Prof na kamanda wetu Lipumba atajitokeza sasa na kutuasa pia kabla hatujaenda kwenye box la kura.Dr Slaa alishatuasa na kutupa maoni yake tumeyachukua. Sisi kama chadema asilia tunaenda kupiga vita ufisadi na mafisadi kwa nguvu zote bila kumuonea haya mtu yoyote.

Staay tuned !
 
Prof mara ya mwisho tulikuona hija Mecca. Na tunashukuru ulirudi salama. RIP mahujaji wote waliopoteza maisha na tuna imani Alah amewapokea wote.
Prof tunatumai umejiweka bayana na msimamo wako usiyoyumba wa kupambana na mafisadi na ufisadi na hasa hili kundi la mafisadi lililovamia chadema. Tutaendelea kuwaenzi makamanda hawa. Na chadema asilia tunasema anguko la mafisadi mwaka huo ndio mwanzo qa maendeleo ya kweli tanzania hii
 
Tunajua kabisa Prof Lipumba roho yako ilikuwa ikikusuta mara tu mlipoanza kukumbatia mafisadi. Nadhani ilikuwa sauti ya Mungu kwa wewe mcha Mungu kufanya maamuzi yale. Kwa wale ambao sio wacha Mungu walikuwa na sauti ya shetani iliyowaambia na kuwatuma waendelee kukumbatia mafisadi kwa nguvu zote. Hapo ndipo tofauti iliyopo.
Inshallah! Alah akulinde na kukupa maono zaidi ili uendelee kuchangia maendeleo ya taifa hili
 
Acha niwe mtu wa kale, Dini, Elimu, mila na desturi zinaniambia mwanaume ni kichwa cha familia, sasa mwanaume ukiwa unaendeshwa na mwanamke siku utavishwa wigi utakubali.

Ruhusu mwanamke akushauri ila sio kukutawala.
Una ushahidi gani kama Dt anaendeshwa na mke wake. Unajuaje labda ni style ya mapenzi yao wawili utajuaje? Mbona wapo wote sasa Marekani happily?
Tusidanganyane hapa na propaganda uchwara za uobgo uongo. Propaganda alizotuletea Gwajima.?? Unaziamini? ?
Gwajima anayesema anakwenda kugeuza misikiti iwe mahekalu ya sunday school za kanisa
 
Jf,

Nadhani itakuwa afya zaidi kama Prof na kamanda wetu Lipumba atajitokeza sasa na kutuasa pia kabla hatujaenda kwenye box la kura.Dr Slaa alishatuasa na kutupa maoni yake tumeyachukua. Sisi kama chadema asilia tunaenda kupiga vita ufisadi na mafisadi kwa nguvu zote bila kumuonea haya mtu yoyote.

Staay tuned !
alishasema mara ya mwisho kwani unataka aseme nini? kuhusu Slaa kama akili yako ni nzuri lazima umshangae yani anataka tusimpigie fisadi mmoja tuwapigie mafisadi wengi, hatutaki huo ujinga
 
Alisha oa tayari huyo
 
Wewe unayetoa maneno yako humu kila siku na ambayo hayana hata tija wewe ni kama nani?

Kabla hujapata jibu langu kwanza, jiulize umewezaje kuniquote kama umeona maneno yangu hayana tija,

Pia jitathimin kwamba unaweza kima cha maji haya ukipata jibu njoo uendeleze ligi.
 
alishasema mara ya mwisho kwani unataka aseme nini? kuhusu Slaa kama akili yako ni nzuri lazima umshangae yani anataka tusimpigie fisadi mmoja tuwapigie mafisadi wengi, hatutaki huo ujinga
Hakuna formula kama hii unayoisema. Fisadi ni fisadi tuu. Hakuna fisadi afadhali wala fisadi sana.
Tunazungumzia anayekwenda kukalia kiti cha ikulu, rais na hatuzungumzii makajambanani wengine. Rais ndio kila kiti na katiba inampa mamlaka makubwa sana ujue. Waswahili wanasema mchawi mpe mtoto akubebee lakini kwa kiti cha ikulu hatuwezi never mpa fisadi. Aende kule akaendeshe biashara na mashamba yake.
 
Una ushahidi gani kama Dt anaendeshwa na mke wake. Unajuaje labda ni style ya mapenzi yao wawili utajuaje? Mbona wapo wote sasa Marekani happily?
Tusidanganyane hapa na propaganda uchwara za uobgo uongo. Propaganda alizotuletea Gwajima.?? Unaziamini? ?
Gwajima anayesema anakwenda kugeuza misikiti iwe mahekalu ya sunday school za kanisa

Hahahaha!! Mweee!! Na utoto unao.

Hayo aliyathibitisha yeye dk mihogo wala usimsingizie gwajima.

Ni nani alisema josephine alimwaga damu yake hvo alipaswa kulipwa u first lady???
 
Kabla hujapata jibu langu kwanza, jiulize umewezaje kuniquote kama umeona maneno yangu hayana tija,

Pia jitathimin kwamba unaweza kima cha maji haya ukipata jibu njoo uendeleze ligi.

Yaani humu tunaelimisha wale wasio na maneno yenye tija ili wafunguke na mojawapo unayekidhi vigezo ni wewe hapo. Tunatafuta kondoo waliopotea warudi kwa mchungaji aliye mwema.
Kima cha maji yako nilioga utotoni dear
 
Mbona umeanzisha uzi unachangia mwenyewe. Unaomba uzi usifutwe .mara unajiita chadema asilia. Ukitaka kujijua upo kundi gani angalia post zako za nyuma ndio utajijua wewe chadema au lumumba?
 
Hakuna formula kama hii unayoisema. Fisadi ni fisadi tuu. Hakuna fisadi afadhali wala fisadi sana.
Tunazungumzia anayekwenda kukalia kiti cha ikulu, rais na hatuzungumzii makajambanani wengine. Rais ndio kila kiti na katiba inampa mamlaka makubwa sana ujue. Waswahili wanasema mchawi mpe mtoto akubebee lakini kwa kiti cha ikulu hatuwezi never mpa fisadi. Aende kule akaendeshe biashara na mashamba yake.

makufuli fisadi na kuna mafisadi wengine wengi
Lowasa fisadi na hakuna mafisadi wengine, yupi bora kati ya hao wawili?
 
Mbona umeanzisha uzi unachangia mwenyewe. Unaomba uzi usifutwe .mara unajiita chadema asilia. Ukitaka kujijua upo kundi gani angalia post zako za nyuma ndio utajijua wewe chadema au lumumba?

Hivi ukianzisha uzi huruhusiwi kuchangia? Labda tuelimishe! Wala uruhusiwi kueleza mawazo uliyonayo duu. Hizi tabia ndio tulizojengewa na kina Mbowe na Lissu. Tabia za uoga na ushenzi tuu. Eti huruhusiwi kuhoji mapato na matumizi ya chama. Ukihoji unafukuzwa. Wizi mtupu. Ni tabia za kiwiziwizi ndio zinakuwa hivi.
Anyway lete hoja yako sasa. Nilikuwa natoa machungu kidogo usijali
 
Jf,

Nadhani itakuwa afya zaidi kama Prof na kamanda wetu Lipumba atajitokeza sasa na kutuasa pia kabla hatujaenda kwenye box la kura.Dr Slaa alishatuasa na kutupa maoni yake tumeyachukua. Sisi kama chadema asilia tunaenda kupiga vita ufisadi na mafisadi kwa nguvu zote bila kumuonea haya mtu yoyote.

Staay tuned !
huyo ni kamanda wako mwenyewe, acha kufanya generalization zisizokuwa na utafiti
 
makufuli fisadi na kuna mafisadi wengine wengi
Lowasa fisadi na hakuna mafisadi wengine, yupi bora kati ya hao wawili?
Nashukuru unakubali kuwa Lowasa ni fisadi. Sasa niambie Magifuli kafisadi nini labda tuanzie hapo. Na tukimaliza hapo turudi nyuma tujiulize chadema hakuna mafisadi ?? Je hujawahi kuusikia ufisadi wowote chadema ?? Kama wewe sio chadema huwezi jua undani wake lakini.
 
alishasema mara ya mwisho kwani unataka aseme nini? kuhusu Slaa kama akili yako ni nzuri lazima umshangae yani anataka tusimpigie fisadi mmoja tuwapigie mafisadi wengi, hatutaki huo ujinga

Aje afanye summary ili watu wenye tabia za kuelewa mwishoni mwa kipindi watendewe haki. Pia afanye conclusion na kutupatia take home message maana karibu sinema linaisha.
 
Back
Top Bottom