Prof Lipumba jibu swali hili usiwe kigeugeu, ni unafiki huo

pasc
pasco,kuolewa na mke mwingine ni uenyekiti kuchukuliwa na mtu mwingine

either awepo CUF kama mwanachama wa kawaida au asiwe mwanachama wa chama chochote au awe mwanachama wa apart from CUF.
asante kwa maelezo yako kuhusu talaka,utadhani ustaashi

halafu mkuu nini tofauti yako wewe na Mayalla?
 
Prof ana kazi maalum kuhakikisha CUF inapotea, na sidhani CUF watachomoka nafikiri sasa ni vyama 2, CUF zenji na CUF bara. Upinzani una safari ndefu. Yaani unamwacha mkeo kwa taraka siku 3 kabla ya kwenda leba, unarudi baada ya 40 ya mtoto moja kwa moja unataka unyumba kweli hiyo??? Unadai ati taraka umeibadilisha- duh
 
Siasa za Tz ni vichekesho, lengo la profoseli ni kutaka kuja na ajenda ya udini, wakat wa jk ilishindwa kufanya kazi kwa vile ni mwenzetu.
 
We ulipokua na uamuzi wa kujiuzulu si uliitwa na Wazee pamoja na viongozi wa dini kukuomba na kukulilia ubadili uamuzi wako ukakataa kata kata? Bado ukaombwa na viongozi wenzio ndani ya Chama ukakataa kata kata? Umesahau nini CUF kwa sasa?

MBONA CHADEMA WALIMUUITA LOWASSA NI FISADI KWANI HAO SIO WANAFIKI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…