Prof Lipumba jibu swali hili usiwe kigeugeu, ni unafiki huo

pasc
Uongozi wa Chama ni kama ndoa ya Kiislam, ukiamua kuacha uongozi ni kama kuacha mke kwa talaka moja, siku ukijisikia utakuwa uko huru kumrejelea bila kipingamizi chochote, hivyo Lipumba alitoa talaka moja tuu, yuko huru kumrejelea mkewe uongozi wa CUF! .

Na hata ukiacha mke kwa talaka tatu bado pia unaweza kumrejelea kwa sharti kwamba kwanza aolewe na mtu mwingine, aachike ndipo na wewe umuoe tena! .

Kama talaka ya Lipumba ni talaka tatu, then ajiunge Chadema, ajitoe, arejee CUF.

Kwa bahati nzuri sana, Lipumba hana shughuli nyingine yoyote ya kufanya zaidi ya uongozi wa CUF, ila pia CUF, haina mtu mwingine yoyote ,mwenye long experience ya uzoefu wa muda mrefu wa uenyekiti wa CUF, kiasi kwamba yeye na Maalim ndio wagombea pekee wa kudumu wa urais kwa CUF kwenye Chaguzi zote ilipokuja uchaguzi wa 2015 CUF ilimuunga mkono mgombea wa UKAWA, Lipumba akaamua kususa na kutoa talaka! .

CUF mrudishieni Lipumba mkewe Uenyekiti wa CUF! .

Pasco
pasco,kuolewa na mke mwingine ni uenyekiti kuchukuliwa na mtu mwingine

either awepo CUF kama mwanachama wa kawaida au asiwe mwanachama wa chama chochote au awe mwanachama wa apart from CUF.
asante kwa maelezo yako kuhusu talaka,utadhani ustaashi

halafu mkuu nini tofauti yako wewe na Mayalla?
 
Prof ana kazi maalum kuhakikisha CUF inapotea, na sidhani CUF watachomoka nafikiri sasa ni vyama 2, CUF zenji na CUF bara. Upinzani una safari ndefu. Yaani unamwacha mkeo kwa taraka siku 3 kabla ya kwenda leba, unarudi baada ya 40 ya mtoto moja kwa moja unataka unyumba kweli hiyo??? Unadai ati taraka umeibadilisha- duh
 
Siasa za Tz ni vichekesho, lengo la profoseli ni kutaka kuja na ajenda ya udini, wakat wa jk ilishindwa kufanya kazi kwa vile ni mwenzetu.
 
We ulipokua na uamuzi wa kujiuzulu si uliitwa na Wazee pamoja na viongozi wa dini kukuomba na kukulilia ubadili uamuzi wako ukakataa kata kata? Bado ukaombwa na viongozi wenzio ndani ya Chama ukakataa kata kata? Umesahau nini CUF kwa sasa?

MBONA CHADEMA WALIMUUITA LOWASSA NI FISADI KWANI HAO SIO WANAFIKI
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom