Prof Lipumba atua makao makuu CUF, Yu wapi Dk Slaa?

Prof Lipumba atua makao makuu CUF, Yu wapi Dk Slaa?

assadsyria3

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
6,909
Reaction score
4,057
Amefanya press conference pale Buguruni kama Mwenyekiti mstaafu .

Wapi wale waliokuwa wakimwita msaliti?

Chanzo : Channel ten

My take.
Dr Slaa organise CHADEMA asilia uingie ofisini.
 
prof amepokelewa kwa kishindo wapi dk slaa?
 
Slaa hapikiki na mafisadi.halafu ni liability tu mafuriko yote yale wamepata viti 34 tu
 
kuna usemi unasema usitukane mamba kabla hujavuka mto profesa hakutukana yeye alikaa kimya slaa alipayuka sana kila siku ni yeye na wahandishi wa habari sasa ivi anaona aibu kurudi
 
Ruzuku itaongezeka mara dufu lazima arudi wabunge25+ kutoka wabunge 3 lazima arudi wewe
 
hahahaaa,yani ametusaliti katkat ya safar sasa ndio anaona anarudi billion 3 alizopewa zimeisha binafsi napendekeza afutwe uanachama kabisa ameturidisha nyuma sana hakuna dhambi mbaya kama usaliti sitamsamehe lipumba na slaa hata siku moja.
 
Something fishy is going on,huyu katumwa kumlainisha maalim seif,sio jambo la kushabikia,why this time
 
Slaa hapikiki na mafisadi.halafu ni liability tu mafuriko yote yale wamepata viti 34 tu

Watapataje viti vingi wakati system ya NEC ilikuwa chini ya CCM? Mkurugenzi amekiri kuwa NEC system ilikuwa interrupted 18 times on due course!
 
Dar es Salaam. Mwenyekiti wa zamani wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba amemwomba Rais Jakaya Kikwete kuiamuru Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC ) kumtangaza mshindi wa uchaguzi wa uliofanyika Zanzibar ili kuipusha nchi kuingia katika machafuko.

Jumatano iliyopita, Mwenyekiti wa ZEC, Jecha Salim Jecha alifuta matokeo ya uchaguzi uliofanyika Oktoba 25 mwaka huu akisema uchaguzi ulikuwa na kasoro nyingi.

Akizungumza leo kwa mara ya kwanza na waandishi wa habari tangu alipojiuzulu, Agosti 6, mwaka huu, Lipumba alisema amelazimika kutoa ushauri baada ya kuona hatari iliyo mbele kama wananchi wa Zanzibar watanyang?anywa haki yao.

?Ijumaa ijayo Dk John Magufuli ataapishwa kuwa Rais na Amiri Jeshi Mkuu wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama vya Tanzania, Kikwete usimwongezee Magufuli matatizo yaliyopo yanamtosha, ? alisema.

Lipumba ambaye alipokelewa na wafuasi zaidi ya 100 kwenye ofisi za chama hicho zilizopo Buguruni, alisema Kikwete ahakikishe kabla hajamaliza muda wake wanaiamuru ZEC kuendelea kutangaza matokeo na kuwatangaza washindi wa uchaguzi huo.
 
hahahaaa,yani ametusaliti katkat ya safar sasa ndio anaona anarudi billion 3 alizopewa zimeisha binafsi napendekeza afutwe uanachama kabisa ameturidisha nyuma sana hakuna dhambi mbaya kama usaliti sitamsamehe lipumba na slaa hata siku moja.

Na wewe hatukusamehi kwa kufanya jaribio la kwenda kinyume na wosia wa baba wa taifa
 
Slaa hapikiki na mafisadi.halafu ni liability tu mafuriko yote yale wamepata viti 34 tu

Wewe unaangalia vitu 34, huoni idadi ya kura za uraisi walizopata kuwa itawaongezea ruzuku, ivyo chama kuzidi kujiimarisha zaidi!
 
Back
Top Bottom