2 2pad JF-Expert Member Joined May 10, 2013 Posts 402 Reaction score 190 Aug 14, 2015 #21 Hana lolote mtu asiyekubalika hata jimboni mwake asitupotezee muda kama taifa.
Jay One JF-Expert Member Joined Nov 12, 2010 Posts 18,535 Reaction score 20,710 Aug 14, 2015 #22 Lipumba anatafuta maafa...!!! Umma utammaliza...kama anasoma upepo ulivyo...akae kimyaaaa...akitoa maneno ya hovyo kuhusu UKAWA ni hatari sana kwa maisha yake...!!!
Lipumba anatafuta maafa...!!! Umma utammaliza...kama anasoma upepo ulivyo...akae kimyaaaa...akitoa maneno ya hovyo kuhusu UKAWA ni hatari sana kwa maisha yake...!!!
S sensor JF-Expert Member Joined Jan 27, 2015 Posts 2,467 Reaction score 1,084 Aug 14, 2015 #23 Erickb52 said: Mnakomboa nini? Click to expand... Tunamkomboa Ping
mikatabafeki JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 12,771 Reaction score 4,656 Aug 14, 2015 #24 mjepo said: Walisema amekimbia lakini karudi sasa tuone ujinga wao watasema nini. Click to expand... Hebu kuweni busy na kumnadi Magufuliii
mjepo said: Walisema amekimbia lakini karudi sasa tuone ujinga wao watasema nini. Click to expand... Hebu kuweni busy na kumnadi Magufuliii
L luckawanna Member Joined May 9, 2014 Posts 68 Reaction score 18 Aug 14, 2015 #25 kilambalambila said: Slaa na Lipumba ni wasomi wanajielewa hawawezi kuendelea na hizi sarakasi za ukawa. Click to expand... wasomi ndo wameturudisha nyuma kwenye kila jambo hapa tz
kilambalambila said: Slaa na Lipumba ni wasomi wanajielewa hawawezi kuendelea na hizi sarakasi za ukawa. Click to expand... wasomi ndo wameturudisha nyuma kwenye kila jambo hapa tz
Afande Fojuman JF-Expert Member Joined Sep 27, 2014 Posts 657 Reaction score 548 Aug 14, 2015 #26 uo utafiti mbona kawai kuumaliza ivyo, na mashaka na uo utafit,
CK Allan JF-Expert Member Joined Aug 14, 2013 Posts 2,784 Reaction score 6,178 Aug 14, 2015 #27 kama uprofesa ni huu wa akina lipumba bora nisisome
DuppyConqueror JF-Expert Member Joined Mar 30, 2014 Posts 9,466 Reaction score 6,970 Aug 14, 2015 #28 Hapo UKAWA kinyesi kinagonga chupi
sebaakujiwe Senior Member Joined Jan 26, 2013 Posts 171 Reaction score 30 Aug 14, 2015 #29 DALLAI LAMA said: Enzi za lyatonga akihama chama anahama na watu hali ni tofauti siku hizi.. Lipumba amejidhalilisha Click to expand... Lipumba hakuhama chama bali aliachia ngazi ktk uongozi. So hawezi kuondoka na watu. Tofautisha kuhama na kuachia ngazi
DALLAI LAMA said: Enzi za lyatonga akihama chama anahama na watu hali ni tofauti siku hizi.. Lipumba amejidhalilisha Click to expand... Lipumba hakuhama chama bali aliachia ngazi ktk uongozi. So hawezi kuondoka na watu. Tofautisha kuhama na kuachia ngazi
Domy JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 4,700 Reaction score 1,090 Aug 14, 2015 #30 Angebaki huko huko Rwanda! watu wajinga wajinga hatuwahitaji!
sebaakujiwe Senior Member Joined Jan 26, 2013 Posts 171 Reaction score 30 Aug 14, 2015 #31 Mr. President said: Lipumba anatafuta maafa...!!! Umma utammaliza...kama anasoma upepo ulivyo...akae kimyaaaa...akitoa maneno ya hovyo kuhusu UKAWA ni hatari sana kwa maisha yake...!!! Click to expand... Unamtisha au?
Mr. President said: Lipumba anatafuta maafa...!!! Umma utammaliza...kama anasoma upepo ulivyo...akae kimyaaaa...akitoa maneno ya hovyo kuhusu UKAWA ni hatari sana kwa maisha yake...!!! Click to expand... Unamtisha au?
fundi25 JF-Expert Member Joined Apr 16, 2013 Posts 10,378 Reaction score 11,542 Aug 14, 2015 #32 pumba hakuwa hata namtu wakwenda kumpokea ata mke au wafuasi 2 wa 3 kweli kachokwa!!
Bigirita Platinum Member Joined Feb 12, 2007 Posts 16,042 Reaction score 7,474 Aug 14, 2015 #33 kilambalambila said: Slaa na Lipumba ni wasomi wanajielewa hawawezi kuendelea na hizi sarakasi za ukawa. Click to expand... Ameshamaliza utafiti ghafla?
kilambalambila said: Slaa na Lipumba ni wasomi wanajielewa hawawezi kuendelea na hizi sarakasi za ukawa. Click to expand... Ameshamaliza utafiti ghafla?
miss chagga JF-Expert Member Joined Jun 7, 2013 Posts 57,805 Reaction score 49,104 Aug 14, 2015 #34 dhamira yake inamsuta na vidole juuu
fundi25 JF-Expert Member Joined Apr 16, 2013 Posts 10,378 Reaction score 11,542 Aug 14, 2015 #35 huyu prof lipumba nguo alikuwa amelala nazo au kakimbizwa huko maana nguo zimejikunja sana ametia aibu!
huyu prof lipumba nguo alikuwa amelala nazo au kakimbizwa huko maana nguo zimejikunja sana ametia aibu!
matumbo JF-Expert Member Joined Jul 9, 2011 Posts 7,224 Reaction score 3,958 Aug 14, 2015 #36 Karibu Prof.. Njoo umwage ukweli namna Wachaga walivyouza nchi kwa mafisadi.. Watanzania wanasubiri kauli yako msomi uliyekataa kutumika na mafisadi.
Karibu Prof.. Njoo umwage ukweli namna Wachaga walivyouza nchi kwa mafisadi.. Watanzania wanasubiri kauli yako msomi uliyekataa kutumika na mafisadi.
S sensor JF-Expert Member Joined Jan 27, 2015 Posts 2,467 Reaction score 1,084 Aug 14, 2015 #37 Mr. President said: Lipumba anatafuta maafa...!!! Umma utammaliza...kama anasoma upepo ulivyo...akae kimyaaaa...akitoa maneno ya hovyo kuhusu UKAWA ni hatari sana kwa maisha yake...!!! Click to expand... Sisi CCM tunamlinda, system iko makini kumprotect
Mr. President said: Lipumba anatafuta maafa...!!! Umma utammaliza...kama anasoma upepo ulivyo...akae kimyaaaa...akitoa maneno ya hovyo kuhusu UKAWA ni hatari sana kwa maisha yake...!!! Click to expand... Sisi CCM tunamlinda, system iko makini kumprotect
Sabung'ori JF-Expert Member Joined Jul 19, 2011 Posts 2,166 Reaction score 1,248 Aug 14, 2015 #38 ...huyu niwakupuuzwa...
nkulikwa JF-Expert Member Joined Jul 21, 2015 Posts 721 Reaction score 813 Aug 14, 2015 #39 Panya road ni wawatawala
H Hollyman JF-Expert Member Joined Jan 29, 2013 Posts 283 Reaction score 77 Aug 14, 2015 #40 fundi25 said: huyu prof lipumba nguo alikuwa amelala nazo au kakimbizwa huko maana nguo zimejikunja sana ametia aibu! Click to expand... You made my day haha jamaa kama kakurupuka manguo yako hovyohovyo madhara ya kukaa mbal na wife au cjui hana mke?
fundi25 said: huyu prof lipumba nguo alikuwa amelala nazo au kakimbizwa huko maana nguo zimejikunja sana ametia aibu! Click to expand... You made my day haha jamaa kama kakurupuka manguo yako hovyohovyo madhara ya kukaa mbal na wife au cjui hana mke?