Tape measure
JF-Expert Member
- Nov 26, 2015
- 1,980
- 3,578
Kama anavojinadi Mwenyekiti aliejiuzulu wa CUF kuwa wanachama wamemuomba na kumsii kurejea na kuendelea kushika usukani katika chama. Lakini viongozi wa CUF wametupilia mbali ombi lake la kutengua kujiuzulu katika nafasi ya uenyekiti wa CUF.
Kama Prof. Lipumba anajua anakubalika kwa nini asianzishe tu chama chake mwenyewe akawa mwenyekiti? Ukizingatia anawafuasi lukuki. Ajifunze kutoka kwa Zito kambwe na ACT WAZALENDO.
Ni hayo tu.
Kama Prof. Lipumba anajua anakubalika kwa nini asianzishe tu chama chake mwenyewe akawa mwenyekiti? Ukizingatia anawafuasi lukuki. Ajifunze kutoka kwa Zito kambwe na ACT WAZALENDO.
Ni hayo tu.