Prof. Lipumba akutana na Makamu wa Rais na kufanya mazungumzo

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,811
Ibrahimu Lipumba (PhD) akikata ishu na Mkuu wetu wa nchi anayekaimu!

21.jpg


26.jpg
 
Mipango ya kumshughulikia maalim huko marashini? Nadhani amekwenda kuweka pini CUF Zenji kuwa na maridhiano na SMZ. Maza naye wa hukohuko.
 
Mhhh
Huyu jamaa njaa itamuua

Njaa inamuuma kuliko hawa pichani? Walikwenda ikulu kwa Kikwete wakakaa weee.Kikwete akawauliza jamani nini mnakitaka semeni basi! MMOJA nammezea jina lake akasema tunataka CHAI.bIRIKA ZILIPOLETWA hakusubiri hata protokali aanze raisi kunywa aliinuka mkuku kumimina chai bila hata kuswali huku mwenzie mwingine mtu mzima akawa naye anainuka mbio mbio kuwahi chai Kikwete akabaki ameduwaa anashangaa.Hawa watu vipi?

CDM5.jpg
 
Back
Top Bottom