THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 18,855
- 15,196
Ladies and Gents.
Friends and Our Enemies.
Nachukua muda wangu kumpongeza Profesa Nguli wa uchumi ndug Ibrahim Lipumba kwa kutangaza nia yake mapema ya kuwania urais kupitia ukawa.
Nachukua nafasi hii kumpongeza na kama tunavyojua Wilbroad Slaa itambidi asubiri tu kwani hana CV ya kumzidi Prof Lipumba.
Ukawa mkae mkijua kwamba kama hamtampitisha Lipumba basi ni bora tukose wote.
FULL STOP.

Kwahy unafikir kwann inaandaliwa kura ya maoni mkuu mbona unataka kuvuruga ukawa?Ladies and Gents.
Friends and Our Enemies.
Nachukua muda wangu kumpongeza Profesa Nguli wa uchumi ndug Ibrahim Lipumba kwa kutangaza nia yake mapema ya kuwania urais kupitia ukawa.
Nachukua nafasi hii kumpongeza na kama tunavyojua Wilbroad Slaa itambidi asubiri tu kwani hana CV ya kumzidi Prof Lipumba.
Ukawa mkae mkijua kwamba kama hamtampitisha Lipumba basi ni bora tukose wote.
FULL STOP.
Prof lipumba ndie tumain letu
Mzee wenu kashindwa kazi ya mungu ataiwezea wapi kazi ya kuongoza nchi?We kweli mwehu,nani anataka kura yako huku UKAWA.Nenda ACT watamsimamisha mgombea unayemtaka,usitusumbue akili zenu bana.
hivi wewe si kada maarufu wa ccm hapa jamvini
Ujinga wako wa udini bado una uendeleza? Zamani ulishabikia CHADEMA kilipomtimua Ayatola kwa kuanzisha chama ndani ya chama ukajifanya unageukia CCCM.
Wewe niwa kuonewa huruma tu maana umeamua kuungana na watesi wa ndugu zako wa Mtwara. Siku hizi husemi tena gasi kwanza?
hilo ni bwabwa la udini na kada la ccm vp leo uwe ukawa halisomeki kisa linaongozwa itikadi za kidini.
Nchi hii haiwez kuongozwa na padre slaa hata siku moja.
Kanisa halina nafasi tena nchi hii
Wewe umevurugwa! Hatuwezi kusikiliza mazwazwa kama wewe mnao weka udini mbele! Tangu mwanzo nilijua tu kuwa umekuja na fikra za udini na bahati nzuri umekuja kuanika ujinga wako mbele ya great thinker.
Hapo ofisini umeajiriwa na bosi mkristo na unafanya kazi na wakristo wenzako. hii nchi sio ya kiislamu wala kikristo, kama unataka omba uraia wa Yemeni uende ukaishi huko. usitulee ujinga wako hapa.