Mshume Kiyate
JF-Expert Member
- Feb 27, 2011
- 6,764
- 908
Unategemea mchumba wa CCM aseme Chadema watatawala nchi?! Han lolote huyo professa bwabwaja....wacha waendelee kuolewa na CCM
Kwa masikitiko makubwa namshuhudia Profesor Lipumba akibakwa ndani ya 'NDOA YA MKEKA' ya CCM/CUF na kupoteza taswira ya hali halisi ya Tanzania ya Leo. Tumebaki na Chama kimoja tu cha upinzani Tanzania .Unategemea mchumba wa CCM aseme Chadema watatawala nchi?! Han lolote huyo professa bwabwaja....wacha waendelee kuolewa na CCM
Nimekosa kabisa jina la kumwita huyu Lipumba. Ngoja niache tuu.
Kwa masikitiko makubwa namshuhudia Profesor Lipumba akibakwa ndani ya 'NDOA YA MKEKA' ya CCM/CUF na kupoteza taswira ya hali halisi ya Tanzania ya Leo. Tumebaki na Chama kimoja tu cha upinzani Tanzania .
woooote wanasiasa wa tanzania hawana jipya... Wanasemana na kupigana vita kila wanakoenda...ndugu waungwana,hivi cuf bila kuitaja chadema mkutano wao haunogi?
Kiongozi wa cuf maneno matano ni chadema kati ya saba,
au chadema ndo wanaotawala nchi.?
Mbona tamko la kamati kuu ya cdm akuna sehemu yeyote katajwa cuf kwanini?
Nini tatizo pale?.
Cuf wamefanya mkutano tanga mbona watu awajasema?
Nccr walifanya mkutano kigoma yaliomkuta mwenyekiti wake huko mbona chadema aiseme.?
mwaka huu tutajionea mengi mno, hivi kumbe mkuki kwa nguruwe......... Majuzi mwanza,geita na bukoba mbowe na slaa walikuwa wakiisema waziwazi cuf majukwaani? Cuf ni ccm b, cuf siyo chama cha upinzani, cuf wanaibeba ccm, cuf wanadhoofisha upinzani n.k. Hatu juzi wakati dr(phd) slaa yuko kigoma amesema bila kubwabwaja kuwa cuf ni wakala wa ccm na kamwe hakiwezi kuwa chama cha upinzani,nadhani hayo ni matusi na kejeli na dharau za kutosha dhidi ya cuf kwa mtizamo huo ni muhimu cuf waseme wanayoyajua kuhusu cdm, kama ni muda wa kuumbuana ndio huu,waumbuane weeeeee, sie yetu macho na masikio and i strongly recommend to cuf to move on shouting about chadema as long as cdm started it and is moving on with it.
Namaanisha bse katika majukwaa ya cdm ajenda yao na adui yao mkubwa hivi sasa ni cuf na ccm then ni lazima ktk majukwaa ya cuf pia ajenda yao na adui yao mkubwa awe ccm na cdm and that is how politics is.
Vijana wa uvccm walivyomshambulia sumaye kisiasa lazima awajibu,kama walimponda naye awaponde na kama walimtukana naye amtukane,ndivyo siasa ilivyo the game of tit for tat, ktk mazingira hayo mashabiki wa cdm mliojazana humu lazima muwe wavumilivu mno
Mkuu, ndiyo dunia kila mtu ana mnyonge wake. Kama CCM ni wanyonge wa CDM. Basi CDM nao wamepata mbabe wao CUF ambaye kila saa yupo nyuma yao tu hapo. Najua inavyokukera, basi na kwa wengine ni hivyo pia.Ndugu waungwana,Hivi Cuf BILA KUITAJA CHADEMA mkutano wao haunogi?
Kiongozi wa cuf maneno matano ni chadema kati ya saba,.?