Lisu ana uwezo wa kumpiga msasa huyo??? Jadili hoja cyo kila mda siasa tuuNaona ameamka baada ya kupigwa msasa na Lissu
Nani wa kumzindua mwenzie..!?kati ya hao labda proffeser wa kulala na viatu ofcn ndio awazindue hawaHongera prof mzindue huyu mama ndalichako
Ulitegemea wafanye nini?Wasomi wenyewe makanjanja. Yeye kama mmoja wao wamezidi kupiga mdomo tu. Atuambie enzi za kikwe.. ambapo waliweza kutukana, kuandamana , kufanya mikutano tena bila bugdha walifanya nini na elimu zao za juu kuisaidia nchi hii?!
Lisu ana uwezo wa kumpiga msasa huyo??? Jadili hoja cyo kila mda siasa tuu
Lissu Ni Nani?!??????
Aliyepewa uproffesor na wanasiasa ni nan???Kwanini asiweze?Mtu aliyepewa Uprofessor na wanasiasa?Anaweza na ameweza period hakuna siasa hapo,ni facts
Akizungumza Dar es Salaam leo katika Mhadhara wa III wa Kavazi la Mwalimu Nyerere, Prof. Kitila Mkumbo ameilaumu serikali kwa tabia yake ya kuingilia na kuvuruga shughuli za Vyuo Vikuu nchini hata kufikia hatua ya kuzuia vyuo kuajiri na kupandisha vyeo watumishi wao.
Ameshangaa pia kuwa midahalo ya kisomi katika vyuo vikuu siku hizi inahitaji vibali vya polisi na mingi kama siyo yote inazuiliwa na wakuu wa vyuo wenyewe kwa kushirikiana na polisi na wakuu wengine wa vyombo vya dola...amesema hili ni janga la wazi na anashangaa kuwa Maprofesa katika vyuo vikuu wako kimya!
Mada iliyokuwa ikijadiliwa ni "Umuhimu wa Elimu ya Juu katika Maendeleo Afrika"
Aliyepewa uproffesor na wanasiasa ni nan???
Kuna Mkuu Mmoja Aliwahi Kusema Humu, " Tunahangaika Kunyoosha Vivuli Vya Miti Wakati Iliyopinda Ni Miti Yenyewe".
Tutawalaumu Wasomi Wetu, Tutakejeli Elimu Zao Lakini Bado Haya Yote Ni Matokeo Tu Na Wala Sio Chanzo.
Cha Muhimu Kujiuliza Ni Je, Mifumo Yetu Ya Elimu Inasaidia Kutatua Changamoto Zetu Kama Taifa? Je, Wasomi Wanaotokana Na Mfumo/Mifumo Hiyo Wana Ujasiri Wa Kusimamia Na Kutekeleza Yale Yote Yenye Manufaa Na Tija Kwa Taifa?
Kama maprofesa wenyewe ni kama yy na Lipumba, ni bora hiyo midahalo ikawa banned forever...... its a wastage of time and resourcesAkizungumza Dar es Salaam leo katika Mhadhara wa III wa Kavazi la Mwalimu Nyerere, Prof. Kitila Mkumbo ameilaumu serikali kwa tabia yake ya kuingilia na kuvuruga shughuli za Vyuo Vikuu nchini hata kufikia hatua ya kuzuia vyuo kuajiri na kupandisha vyeo watumishi wao.
Ameshangaa pia kuwa midahalo ya kisomi katika vyuo vikuu siku hizi inahitaji vibali vya polisi na mingi kama siyo yote inazuiliwa na wakuu wa vyuo wenyewe kwa kushirikiana na polisi na wakuu wengine wa vyombo vya dola...amesema hili ni janga la wazi na anashangaa kuwa Maprofesa katika vyuo vikuu wako kimya!
Mada iliyokuwa ikijadiliwa ni "Umuhimu wa Elimu ya Juu katika Maendeleo Afrika"
Waisome namaba au tuisome namba?Safi.Magufuli kaza huko chuo kikuu mpaka waisome namba.
Sisi wengine tulishazoea kuisoma hapa ni mwendelezo tuWaisome namaba au tuisome namba?
Hayupooo....Mtafute utamjua usipende kutafuniwa
Mh!!! Hayo ya kutumia fedha za taasisi kujengea Bar na Mahoteli sinayo taarifa. Wastaafu ni ceremonial figure tu. Waendeshaji/Watendaji si wastaafu natumai.Usimpe hongera bila sababu. Vyuo vikuu si ndivyo vinaongozwa na wastaafu? Hawa si ndo juzi hapa wameambiwa warudishe pesa za wizi? Yeye mkumbo amefanya nini kuzuia huyo VC wake ambaye kaigeuza UD kuwa kama sekondari?
Binafsi naiomba serikali iongeze mkono vyuo vikuu. Hao wanaojiita maprofesa wamegeuka kuwa ni waalimu wa kufundisha wizi tu. Pesa za tuition wanajengea bar za pombe na mahoteli wakati facilities za vyuo ziko taaban!
recently nimemuona VC wa UD akieleza mafanikio ya chuo chake, which to me was another rubbish on the display.Mh!!! Hayo ya kutumia fedha za taasisi kujengea Bar na Mahoteli sinayo taarifa. Wastaafu ni ceremonial figure tu. Waendeshaji/Watendaji si wastaafu natumai.