Ndg, unapaswa kujua kuwa vyuo vikuu hapa duniani haviendeshwi kama shule za msingi. Kuna uhuru wa mawazo. Na ili taaluma iendelee lazima kuwepo na mijadala na majadiliano mbalimbali ya kitaaluma.Hivi huku jf hata wasomi ****** wanajiita wana elimu ya juu?!, "kiplopaganda" dah nouma!!!! halafu huku jf watu hawajaweka cv zao wewe pimbi. Bado nakosoa wasomi wa kibongo sana,... Obama ni prof wa katiba na sheria but still the man is titled Mr Obama. We need to see what the elite is doing in accordance to his /her level of education bwana mdogo
Mimi nahisi uongozi wetu wa sasa haujiamini, ndiyo maana unaogopa watu kuwa huru kujadili mambo, hii hali inataka iniaminishe pia kwamba kitendo cha Mkulu kutokwenda nje ya nchi katika mikutano mikubwa muhimu si kwamba anataka kupunguza ghalama tu bali pia hana uwezo wa ku-argue na vichwa vya nafasi yake katika forum za kimataifa.Akizungumza Dar es Salaam leo katika Mhadhara wa III wa Kavazi la Mwalimu Nyerere, Prof. Kitila Mkumbo ameilaumu serikali kwa tabia yake ya kuingilia na kuvuruga shughuli za Vyuo Vikuu nchini hata kufikia hatua ya kuzuia vyuo kuajiri na kupandisha vyeo watumishi wao.
Ameshangaa pia kuwa midahalo ya kisomi katika vyuo vikuu siku hizi inahitaji vibali vya polisi na mingi kama siyo yote inazuiliwa na wakuu wa vyuo wenyewe kwa kushirikiana na polisi na wakuu wengine wa vyombo vya dola...amesema hili ni janga la wazi na anashangaa kuwa Maprofesa katika vyuo vikuu wako kimya!
Mada iliyokuwa ikijadiliwa ni "Umuhimu wa Elimu ya Juu katika Maendeleo Afrika"
Wewe utakuwa unahitaji consultant!!!!!Ndg, unapaswa kujua kuwa vyuo vikuu hapa duniani haviendeshwi kama shule za msingi. Kuna uhuru wa mawazo. Na ili taaluma iendelee lazima kuwepo na mijadala na majadiliano mbalimbali ya kitaaluma.
Sasa wewe unaposema kuwa mijadala haina manufaa kwa kuonyesha kuwa awamu ya nne mijadala ilikuwa huru n.k lakini haikusaidia viwango vya elimu kukua, unapaswa kutambua kuwa kuna maswala mengine pia yanayoathiri ubora wa elimu ya vyuo vikuu.
Mijadala ni muhimu sana katika maendeleo ya kitaaluma. Wanazuoni wetu wanapaswa kuwa na uhuru wa kutoa michango yao kimawazo. Isitoshe mnaogopa nini mihadhara wa wanachuo? Tukiendelea hivi kuwazuia wanazuoni kujadili maswala yao ya kitaaluma wanapokuwa chuoni tunatengeza viongozi ambao watakuwa wakipewa mialiko UN, Zambia, AU n.k watakwepa kwa sababu ya kukosa uwezo wa kutoa hoja, lakini pia hawatakuwa na uwezo wa kutetea hoja zao dhidi ya mawazo kinzani.
Hii Ndiyo sababu ya kukwambia uyaache mambo ya kitaaluma kwa wanaoijua elimu ya chuo kikuu.
Tetea hoja yako ya kuzuia mihadhara vyuoniWewe utakuwa unahitaji consultant!!!!!
Anashangaa nini wakati wanataaluma wameona dili ipo kwenye siasa na kujikomba kwa watawala?Akizungumza Dar es Salaam leo katika Mhadhara wa III wa Kavazi la Mwalimu Nyerere, Prof. Kitila Mkumbo ameilaumu serikali kwa tabia yake ya kuingilia na kuvuruga shughuli za Vyuo Vikuu nchini hata kufikia hatua ya kuzuia vyuo kuajiri na kupandisha vyeo watumishi wao.
Ameshangaa pia kuwa midahalo ya kisomi katika vyuo vikuu siku hizi inahitaji vibali vya polisi na mingi kama siyo yote inazuiliwa na wakuu wa vyuo wenyewe kwa kushirikiana na polisi na wakuu wengine wa vyombo vya dola...amesema hili ni janga la wazi na anashangaa kuwa Maprofesa katika vyuo vikuu wako kimya!
Mada iliyokuwa ikijadiliwa ni "Umuhimu wa Elimu ya Juu katika Maendeleo Afrika"
Lissu Ni Nani?!??????Naona ameamka baada ya kupigwa msasa na Lissu
Kichuguu kizindue MLIMAHongera prof mzindue huyu mama ndalichako
TunduLissu Ni Nani?!??????
Tatizo maprofesa wetu hawa ni wanafiki.yaan mtu unasema kuwa kitila kaongea pumba et kisa siasa,jamani muwe na akili muda mwingine mtu akiongea jambo la maana mpeni sifa zake siasa baadae!!
Akizungumza Dar es Salaam leo katika Mhadhara wa III wa Kavazi la Mwalimu Nyerere, Prof. Kitila Mkumbo ameilaumu serikali kwa tabia yake ya kuingilia na kuvuruga shughuli za Vyuo Vikuu nchini hata kufikia hatua ya kuzuia vyuo kuajiri na kupandisha vyeo watumishi wao.
Ameshangaa pia kuwa midahalo ya kisomi katika vyuo vikuu siku hizi inahitaji vibali vya polisi na mingi kama siyo yote inazuiliwa na wakuu wa vyuo wenyewe kwa kushirikiana na polisi na wakuu wengine wa vyombo vya dola...amesema hili ni janga la wazi na anashangaa kuwa Maprofesa katika vyuo vikuu wako kimya!
Mada iliyokuwa ikijadiliwa ni "Umuhimu wa Elimu ya Juu katika Maendeleo Afrika"
Kumbe hako ......Tundu
kama mtu hayupo pamoja na wewe kimawazo sio mnafiki,tatizo watu wajiona kama hawajui kukoseaTatizo maprofesa wetu hawa ni wanafiki.
Na hili ndilo litakalo tufanya maendeleo ya kweli tuyasikie kwa wenzetu tu.Unamwambia nani wakati uko kwenye system?Kwani hamjui nyie wasomi ndiyo hamna michango kwa jamii yetu?Ninyi ni wasomi lakini ni wasanii wa siasa.
Tatizo Siyo kuwa pamoja kimawazo.msomi kama Kitila mkumbo lazima awe na msimamo na agenda zake anazopigania. Yani Lila mtu akisikia kitila anataka kuzungumza tayari unafahamu mwelekeo kwa kuwa unajuwa ni mtu wa mrengo upi.sasa Prof leo yupo hivi kesho vile hatumwelewi kwakweli anyway kwa sababu ni politician labda.kama mtu hayupo pamoja na wewe kimawazo sio mnafiki,tatizo watu wajiona kama hawajui kukosea
Nakubaliana na Prof Kitila katika hili, anayo hoja ya msingi kabisa. Lakini ni muhimu pia akakubali kwamba wasomi wenyewe, kwa maana ya vyuo vikuu vyetu, ndio vinastahili kubeba lawama kabla ya kuilaumu serikali. Zamani vyuo vikuu ndiko ambako kulitegemewa kuzalisha fikra zenye kusaidia taifa kwenda mbele zaidi, lakini leo vyuo vikuu navyo vimegeuka kuwa conduits za kufanikisha ajenda za kisiasa za kimakundi.Akizungumza Dar es Salaam leo katika Mhadhara wa III wa Kavazi la Mwalimu Nyerere, Prof. Kitila Mkumbo ameilaumu serikali kwa tabia yake ya kuingilia na kuvuruga shughuli za Vyuo Vikuu nchini hata kufikia hatua ya kuzuia vyuo kuajiri na kupandisha vyeo watumishi wao.
Ameshangaa pia kuwa midahalo ya kisomi katika vyuo vikuu siku hizi inahitaji vibali vya polisi na mingi kama siyo yote inazuiliwa na wakuu wa vyuo wenyewe kwa kushirikiana na polisi na wakuu wengine wa vyombo vya dola...amesema hili ni janga la wazi na anashangaa kuwa Maprofesa katika vyuo vikuu wako kimya!
Mada iliyokuwa ikijadiliwa ni "Umuhimu wa Elimu ya Juu katika Maendeleo Afrika"
alisema kuwa CUF ya lipumba itakuwa imara,mi nilimuelewa vizuri,kwamba kitakuwa chama imara ila si cha utetezi wa watanzania.yaan IMARA ILA KWA KUWA HAKIPO UKAWA.coz ndani ya kuwa wanaongozwa na chadema.Tatizo Siyo kuwa pamoja kimawazo.msomi kama Kitila mkumbo lazima awe na msimamo na agenda zake anazopigania. Yani Lila mtu akisikia kitila anataka kuzungumza tayari unafahamu mwelekeo kwa kuwa unajuwa ni mtu wa mrengo upi.sasa Prof leo yupo hivi kesho vile hatumwelewi kwakweli anyway kwa sababu ni politician labda.