Naam. Kitila anawasilisha jambo la msingi sana. Taasisi za Elimu ya Juu hasa za umma zinapaswa kujitathmini upya endapo kweli zataka kumuenzi Mwalimu kwa vitendo.
Hongera Prof. Kitila.
Hivi huyu naye ni profesa wa UDSM? Mbona amejibu kiporojo na blahblah tu. Hana facts. Darasani anafundishaje?Naam. Kitila anawasilisha jambo la msingi sana. Taasisi za Elimu ya Juu hasa za umma zinapaswa kujitathmini upya endapo kweli zataka kumuenzi Mwalimu kwa vitendo.
Hongera Prof. Kitila.
Usimpe hongera bila sababu. Vyuo vikuu si ndivyo vinaongozwa na wastaafu? Hawa si ndo juzi hapa wameambiwa warudishe pesa za wizi? Yeye mkumbo amefanya nini kuzuia huyo VC wake ambaye kaigeuza UD kuwa kama sekondari?Naam. Kitila anawasilisha jambo la msingi sana. Taasisi za Elimu ya Juu hasa za umma zinapaswa kujitathmini upya endapo kweli zataka kumuenzi Mwalimu kwa vitendo.
Hongera Prof. Kitila.
Kweli kabisa ni kigeugeu sana.....huyo kitila hata akiongea point mimi naziona ni ugoro tu.
Haya mambo ya elimu ya juu waachie wanaoweza kuchangia vizuri. Mbona mada na hoja za kiplopaganda na kisiasa zipo nyingi tu na unaweza kuchangia huko!Wasomi wenyewe makanjanja. Yeye kama mmoja wao wamezidi kupiga mdomo tu. Atuambie enzi za kikwe.. ambapo waliweza kutukana, kuandamana , kufanya mikutano tena bila bugdha walifanya nini na elimu zao za juu kuisaidia nchi hii?!
Hivi huku jf hata wasomi vilaza wanajiita wana elimu ya juu?!, "kiplopaganda" dah nouma!!!! halafu huku jf watu hawajaweka cv zao wewe pimbi. Bado nakosoa wasomi wa kibongo sana,... Obama ni prof wa katiba na sheria but still the man is titled Mr Obama. We need to see what the elite is doing in accordance to his /her level of education bwana mdogoHaya mambo ya elimu ya juu waachie wanaoweza kuchangia vizuri. Mbona mada na hoja za kiplopaganda na kisiasa zipo nyingi tu na unaweza kuchangia huko!
huyu kitila si ndio alikacha kugombea urais ACT kwa Zitto, halafu ndio yeye alikuwa CHADEMA?Unamwambia nani wakati uko kwenye system?Kwani hamjui nyie wasomi ndiyo hamna michango kwa jamii yetu?Ninyi ni wasomi lakini ni wasanii wa siasa.
ndiyo huyo-huyo profesa njaa.huyu kitila si ndio alikacha kugombea urais ACT kwa Zitto, halafu ndio yeye alikuwa CHADEMA?