Hili ni jembe la ukweli!, nilikuwa namsiliza jana BBC kuhusu kifo cha Rais Satta!.
Masikini kile chama!, they didn't know what treasures they had until when they lost it!.
Pasco

Yaani huyu Fransis Michael ilikuwa hakuna kitu,UDASA YA CHACHAGE sijui itarudi lini?
Sasa kama wajumbe waliohudhuria ni 70 mpaka 80 kati ya wanachama 1090 hicho kikao kitakua halali kweli.UDASA IS DEAD.WACHUMIA TUMBO UDSM NI WENGI MNO.
Hili ni jembe la ukweli!, nilikuwa namsiliza jana BBC kuhusu kifo cha Rais Satta!.
Masikini kile chama!, they didn't know what treasures they had until when they lost it!.
Pasco
Yaani huyu Fransis Michael ilikuwa hakuna kitu,UDASA YA CHACHAGE sijui itarudi lini?
Kiukweli sitatizwi kabisa na myopic wote waliokuwa blindfolded na mapenzi yao kwa chama, huku wakiwaabudia watu wasio na uwezo, kwa kuwanyooshea vidole vya usaliti wenye uwezo wowote!.Huwa unapayuka sana zinapokuja ishu za wasaliti
Kiukweli sitatizwi kabisa na myopic wote waliokuwa blindfolded na mapenzi yao kwa chama, huku wakiwaabudia watu wasio na uwezo, kwa kuwanyooshea vidole vya usaliti wenye uwezo wowote!.
Angalia kwenye safu yenu yote!, nani ana vigezo na viwango vya kumkaribia huyu jamaa?!.
Kama usaliti ni ule waraka, nimewatetea 100 times, haukuwa waraka wa usaliti wala wa mapinduzi bali a "winning coalition!".
Tena shukuruni sana ZZK ameamua kuifuta kesi kwa ridhaa yake na kujifungashia na kujiondokea, vinginevyo...
2015 sijui mngekuwa wageni wa nani?!.

Pasco bana.... uwezo unaupimaje? You are better than that bro