Huyu ni Professor wa Siasa halisi sio za Darasani, Yule Profesa wa Darasani mlimkabidhi akili akawatoa Bungeni eti kukwamisha Katiba, mara akawashika akili akina Deus Kibamba eti wakafunge Milango ya Bunge kwa vurugu, mara Maandamano ya nchi nzima kusitisha Bunge, Mara wakamtuma Kubenea Mahakamani Mwishowe katiba imepita Bungeni na kinachofata sasa ni kupata theluthi mbili ya kura za Ndio nchi nzima, Kuanzia Kilimanjaro mpaka Pemba.