Prof. Kabudi unavutiwa upepo tu, ya Mwigulu Nchemba yanakunyemelea !

Mkaruka

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
19,617
34,062
Pole kwa kuugua ila naamini ushaandika barua ya maelezo kwenda kwa katibu wako Dr Bashiru na Mwenyekiti wako Magufuli kujieleza ni kwanini hukuhudhuria vikao vya bunge na la muhimu zaidi ni kutopigia kura ya kupitisha sheria ya kufukarisha wakulima wa korosho Lindi na Mtwara !

- Kwa wenye uelewa mdogo tu wa kisaikolojia wanaelewa tangu siku ile ulipoambiwa kuandika barua ya maelezo ukiambatanisha na vyeti vya daktari, inaonesha ni kwamba Rais Magufuli ashakuchoka !!

- Lengo la kukuteua wewe ilikuwa ni kwa kuwa Rais alikuamini unaweza kumaliza suala la Makinikia ili yeye Apata MASIFA, kumbe hajui majamaa ni MAGWIJI wa DIPLOMASIA ambao ukiongea nao unaweza kudhani hizo pesa WATAKUPA KESHO !!

- Sasa kwa kuwa imeshindikana, hakuna jipya tena unaloweza kutoa !

POLE SANA !
 
Kwani hadi sasa hatujalipwa matrilioni yetu ya makinikia?
 
Yajayo yanatafakarisha
Mpaka Jiwe atolewe madarakani DENI LA TAIFA litakuwa lishafika TRILIONI 58 !

- Anaendesha nchi kwa MIKOPO

- Madeni ya wadai waliovunjiwa mikataba kibabe bila UTARATIBU

- Makinikia ( HASARA waliyopata ACCACIA/BARRICK, SHIPPING LINE, STORAGE n.k )
 
W alipewa vyeti baada ya kushinda wakiongea na “wanaume wenye suti waliokuja na ndege yao” kwa muda wa siku kadhaa.
JIWE alikutana na GWIJI LA DIPLOMASIA, kila JIWE alichokuwa anaongea jamaa anakubali tu !

- JIWE akaona PESA HIZO za WANAUME atazipata hata KESHO !

Dah
 
Back
Top Bottom